Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Kwanini wazee ndiyo walikuwa wanakula firigisi....je ni mila na desturi au ni uonevu tu
Nimezitamani hizo za kwenye picha
Na vijana wanakula MAPUPU wawe wepesi,
Wazee walituweza sana, dogo utakila kile kipapatio tu
😂😂😂😂😂😂😂 mimi kwenye ubinti sipoHizi nizawazee tu...tena mabint ndiyo hamruhusiwi kabisa
Kwa mwanamke ni dhambiNimezitamani hizo za kwenye picha
Maisha yanaenda kwa kasi sana, kutoka firigisi kuliwa na baba tu pindi kuku achinjwapo mpaka sasa firigisi kuuzwa kama mishikaki vile tena kwa mtu yoyote.Kwanini wazee ndiyo walikuwa wanakula firigisi....je ni mila na desturi au ni uonevu tu
View attachment 1185926
Leme do the needfulNimezitamani hizo za kwenye picha
Mama zetu walikuwa wasikivu, wavumivu na wenye heshima. Imagine hawakuhoji kwa nini wasile firigisi tu na je wangekufa ? pindi baba alipokuwa mbali firigisi walitengewa watoto wa kiume wale kwa niaba ya baba. Mama zetu hawakuwa na tamaa za kutaka nao wale kwa sababu zilikuwa tu ni nyama kama zilivyo nyingine vile. Ujuaji mwingi wa sikuhizi ndio chanzo kikubwa cha migogoro katika ndoa.
MmhKwa mwanamke ni dhambi
kweli kabisa bibie
Hata mimi nimerithi hiki kitabia,nimezeeka nimejikuta ndio nakula peke yangu ingawa wife naye hua anaonja mara moja moja kutest chumvi...Ndiyo tunataka kujua kwanini walikuwa wanakula kinababa?
PoleSipendi firigisi maana nyingi zanuka kinyesi hazisafishwi visuri
Sipendi firigisi maana nyingi zanuka kinyesi hazisafishwi visuri
Ukhty fanya ukanunueNimezitamani hizo za kwenye picha