Kwanini wazee pekee ndiyo walikuwa wanakula firigisi?

Namkunda OG

JF-Expert Member
Nov 17, 2015
827
1,048
Kwanini wazee ndiyo walikuwa wanakula firigisi....je ni mila na desturi au ni uonevu tu

IMG_20190820_133145.jpeg
 
Na vijana wanakula MAPUPU wawe wepesi,
Wazee walituweza sana, dogo utakila kile kipapatio tu
 
Mama zetu walikuwa wasikivu, wavumivu na wenye heshima. Imagine hawakuhoji kwa nini wasile firigisi tu na je wangekufa ? pindi baba alipokuwa mbali firigisi walitengewa watoto wa kiume wale kwa niaba ya baba. Mama zetu hawakuwa na tamaa za kutaka nao wale kwa sababu zilikuwa tu ni nyama kama zilivyo nyingine vile. Ujuaji mwingi wa sikuhizi ndio chanzo kikubwa cha migogoro katika ndoa.
 
Ndiyo tunataka kujua kwanini walikuwa wanakula kinababa?
Mama zetu walikuwa wasikivu, wavumivu na wenye heshima. Imagine hawakuhoji kwa nini wasile firigisi tu na je wangekufa ? pindi baba alipokuwa mbali firigisi walitengewa watoto wa kiume wale kwa niaba ya baba. Mama zetu hawakuwa na tamaa za kutaka nao wale kwa sababu zilikuwa tu ni nyama kama zilivyo nyingine vile. Ujuaji mwingi wa sikuhizi ndio chanzo kikubwa cha migogoro katika ndoa.
 
Sipendi firigisi maana nyingi zanuka kinyesi hazisafishwi visuri
 
Back
Top Bottom