Kwanini wazee pekee ndiyo walikuwa wanakula firigisi?

Kipindi kile ukitaka ugombane na mama.uchinje kuku.alfu firigisi uchukue na utumbo na miguu uchemshe supu.
Lazma atakuuliza.
Tena ugomvi mkubwa.
 
Hapa jee?
tapatalk_1565253711697.jpeg
 
Wanawake wana madai sana mengine ya hovyo. Kama kupanda juu hawajui hii style!
hivo wanakandamiza sana na maziwa yao! Mpaka tunashindwa kupumua.lkn wanaona sawa tu
 
Back
Top Bottom