Kwanini wazazi wa Makonda wasijitokeze hadharani ili kuthibitisha jina halisi la mtoto wao?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,316
Fedheha anayoipata mtoto wao iliyosababishwa na tuhuma za kuiba jina la mtu kutokana na kufeli masomo yake ya awali ni kubwa sana.

Hata kama anatengeneza hela hata za haramu lakini kwa kweli tuhuma hizi ni aibu kubwa sana kwake na kwa wazazi wake.

Wanyakyusa wa Kyela wana kamsemo kao haka, "Ikuliila Muunto", kwa tafsiri wanamaanisha kwamba pamoja na kwamba mhusika anakula lakini anakula kwa tabu sana.

Labda kama hana wazazi, lakini kama wapo ni vema wakajitokeza hadharani kumuondolea aibu kijana wao.

Halafu kingine ni hiki, mbona hatujawahi kumsikia hata kwenda kwao kuwajulia hali wazazi wake, hawajawahi hata kuumwa?
 
Erythrocyte,
Walikwisha thibitisha jina la db, wanaccm waliokwenda kwao walirudi vichwa chini baada ya kuthitishiwa bila shaka yoyote mpaka chumba alichokuwa akilala.
Mjadala ulifungwa baada ya uthibitisho, muulize Nyerere feki msanii aliyekuwa na kimbelembele.
 
Hiv bado unafikra za kua makonda ni jina halis la huyo mtu , ngoja nikuambie ukiona mtu kashutumiwa badala ya kujibu tuhuma akakimbilia kanisani ujue huyo ni mkosaji, hivo huyomtu ukwel anaujua yakua yy ni Albert bas tu hana jinsi Erythrocyte,
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom