Kwanini Wazanzibari Hawana Vichogo?

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,398
8,885
Hivi ni kwanini Wazanzibari walio wengi hawana vichogo kama sisi wa Bara? Yaani vichwa vyao kwa nyuma vimepigwa pasi na havijachongoka kama vya kwetu Wabara!
 
ww c bure unatafuta ugomvi.ngoja watakuja tu kukupa majb ndo hapo utatumbuka mbwaaaaaaaa.
 
Hahaha kweli mkuu mfano mzuri muangalie Salum Mwalimu Huyu Wa Chadema then ana mdogo wake nimemsahau jina nae hivo hivo no vichogo..nilisoma nao primary
 
mtoto anapozaliwa masaa machache ya mwanzo mifupa huwa teketeke, mtoto hulazwa chali kisogo huwekwa kwenye kibao bapa, mda unavyopita mifupa huanza kuwa migumu na tayari umepata upata kisogoni ili kuvaa vizuri baraghashia, upo?
 
Hivi ni kwanini Wazanzibari walio wengi hawana vichogo kama sisi wa Bara? Yaani vichwa vyao kwa nyuma vimepigwa pasi na havijachongoka kama vya kwetu Wabara!
"jamanieee, JF vipi " mungu Muumba wetu huumba atakavyo sasa tusimkoseee !! Kwani siye wanaAdamu tunaoowezo ??

Kama hatuna Mada za maana kutiririsha siyo lazima !! as a GREAT THINKERS tuwe makini!
 
mtoto anapozaliwa masaa machache ya mwanzo mifupa huwa teketeke, mtoto hulazwa chali kisogo huwekwa kwenye kibao bapa, mda unavyopita mifupa huanza kuwa migumu na tayari umepata upata kisogoni ili kuvaa vizuri baraghashia, upo?

Ha ha ha ha ha ha
ngoja waje akina
mankachara
 
Last edited by a moderator:
Wazanzibari na watu wa pwani wengi wanapohisi mtoto amezaliwa na chogo na au akilala analala ubavu hutumia mito midogo ya mchanga kuwawekea kisogoni na huwabana kwa khanga mwilini ili wasigeuke wakalala kwa ubavu. Hii ni wakati wachanga kabisa na bado wateke.

Matokeo ni kuwa na kisogo na si chogo.
 
weka picha
 
Attachments

  • 1417702142500.jpg
    1417702142500.jpg
    72.7 KB · Views: 1,235
Back
Top Bottom