Kwanini wazanzibar wako Mahakamani kuidai Zanzibar yao?

Ile zanzibar siyo yao, ni mali ya bara ila wao wanataka kutunyanganya, na eneo la km 25 pwani ya tanzania bara wataridai pindi akitokea mjinga mmoja akilitoa hiyo zanzibar
 
Tanzania bara ikiitoa zanzibar, kwa wazanzibari hawata ikubali zanzibar pekee yake, hawatakaa waridhike na visiwa viwili tu, watataka na visiwa vya mafia, na jiji la Dar es salaam, mpaka mtwara, mwisho kibaigwa dodoma.
 
Ndivyo alivyokuambia Roho Mtakatifu wako ??
 
Tanzania bara ikiitoa zanzibar, kwa wazanzibari hawata ikubali zanzibar pekee yake, hawatakaa waridhike na visiwa viwili tu, watataka na visiwa vya mafia, na jiji la Dar es salaam, mpaka mtwara, mwisho kibaigwa dodoma.
Kumbe unajuwa kuwa kote huko ni kwetu ? sasa wewe endelea kugoma mpaka utakapolipishwa fidia ya kuikalia nchi ya watu kwa miaka zaidi ya 50
 
Ile zanzibar siyo yao, ni mali ya bara ila wao wanataka kutunyanganya, na eneo la km 25 pwani ya tanzania bara wataridai pindi akitokea mjinga mmoja akilitoa hiyo zanzibar
Mbona unajichanganya?
Mara Visiwa si vyao,
Mara watadai km 25 za ukanda wa pwani ya tanganyika,
Inaonesha kuna kitu munakiogopa, na ukweli munaujuwa.
 
Tanzania bara ikiitoa zanzibar, kwa wazanzibari hawata ikubali zanzibar pekee yake, hawatakaa waridhike na visiwa viwili tu, watataka na visiwa vya mafia, na jiji la Dar es salaam, mpaka mtwara, mwisho kibaigwa dodoma.

hicho ndicho unachoogopa au?
 
Sasa labda umekielewa,na huo ndo uhalisia,hilo eneo lote ni mali ya zanzibr,
Ndo maana wenzio wameamua kuhamia Dodoma mapeema,wasije wakaumbuka huko mbele.
Alkini nawatowa wasi wasi ,sisi na nyinyi ni damu,hatutawaa
 
Tanzania bara ikiitoa zanzibar, kwa wazanzibari hawata ikubali zanzibar pekee yake, hawatakaa waridhike na visiwa viwili tu, watataka na visiwa vya mafia, na jiji la Dar es salaam, mpaka mtwara, mwisho kibaigwa dodoma.
Nenda kaolewe kwnza ,hujuwi kitu
 
kuna watu naropoka tu humu hata hawajui vitu , ninani alokuambia Zanzibar ikijitenga inaichukua DSM na baadhi ya maeneo??
kwakukusaidia kapitie upya mikataba iliyoingiwa na Germany & Uingereza na league of nations.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom