Kwanini wayahudi wanashabikiwa sana na wakristo wakati sio wakristo?

Status
Not open for further replies.

Ebale

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
943
1,682
Hili ni swali huwa najiuliza sana. Ina fikia hatua mkristo alimuona myahudi anamwita ni mteule wa Mungu "taifa teule". Inawezekanaje watu walioua mitume na manabii, wakamuua hadi Mungu wa wakristo (YESU) still wakabaki kuwa ni wateule?. Ningependa nipate majibu kistaarabu
 
Uyahudi ni nini, na ni nini au nani Myahudi? Je, Ni Uyahudi dini tu? Je, ni utambulisho wa kiutamaduni au kabila? Je! Wayahudi koo za watu au ni taifa? Je, Wayahudi wanaamini nini, na wao wote wanaamini mambo sawa?

Ebu tuanzie hapo kwanza ili twende sawa...
 
Kuna mambo mengine uwa tunayabeba ila sio size yetu.....mfano maraika wazungu....yesu mzungu....mariamu mzungu....Mungu mwwnyewe mzungu.....ndo mana uwa napita tu bila kujiuliza.
 
Hili ni swali huwa najiuliza sana. Ina fikia hatua mkristo alimuona myahudi anamwita ni mteule wa Mungu "taifa teule". Inawezekanaje watu walioua mitume na manabii, wakamuua hadi Mungu wa wakristo (YESU) still wakabaki kuwa ni wateule?. Ningependa nipate majibu kistaarabu

Kunawatu wanapenda Ukuta na sio chadema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom