BlackItaliano119
Member
- Oct 28, 2012
- 16
- 4
Ni jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza iweje idadi kubwa ya wanadamu hutumia mkono wa kulia,kwa kufanya shughuli mbalimbali hasa kuandika.Wakati ilipaswa tutumie mkono wa kushoto kwa maana katika lugha nyingi katika kuandika au kusoma tunaanzia upande wa kushoto kwenda kulia hivyo mkono sahihi kutumia ulipaswa uwe wa kushoto.Labda waarabu na watu wa lugha nyingine wanazoanzia kuandika au kusoma kulia kwenda kushoto ndio wanapaswa kutumia mkono wa kulia.Unasemaje mdau, maana hata wewe nadhani ni muathirika
kwa ninachofahamu hakuna uhusiano kati yakusoma na kuandika kwa sababu hata kama maneno yapo juu chini yanasomeka lakini kuandika juu chini ni utata "rouy teh remastr" kusoma yanawezekana.