Kwanini watu wengi waliofanikiwa kimaisha unakuta wameoa wanawake wa kawaida sana?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Salaam wakuu,

Habari za weekend?? Well, moja kwa moja kwenye mada wakuu, huwa najiuliza kwanini watu wengi waliofanikiwa kimaisha unakuta wameoa wanawake wakawaida sana (sio warembo kwelikweli).

Japo ndio wapo baadhi ambao wameoa pisi kali lakini nimejaribu kufuatilia nikagundua asilimia kubwa ya watu hawa unakuta wana wake wa kawaida sana ukilinganisha na mafanikio Yao (ana uwezo wa kukamata pisi kali ya yoyote na kuiweka ndani).
 
Salaam wakuu,

Habari za weekend?? Well, moja kwa moja kwenye mada wakuu, hua najiuliza kwanini watu wengi waliofanikiwa kimaisha unakuta wameoa wanawake wakawaida sana (sio warembo kwelikweli).

Japo ndio wapo baadhi ambao wameoa pisi kali lakini nimejaribu kufuatilia nikagundua asilimia kubwa ya watu hawa unakuta wana wake wa kawaida sana ukilinganisha na mafanikio Yao (ana uwezo wa kukamata pisi kali ya yoyote nakuiweka ndani).
Wakawaida ndio wanakuaje??
 
Kwanza warembo wengi huwa hawaolewi na wakiolewa hawadumu kwenye ndoa zao kutokana na jeuri na kiburi cha urembo. Huwa wanajidanganya kuwa kutokana na urembo wao hawawezi kuwa chini ya mwanaume na ndiyo hupelekea kuachika na wafikapo above 35 kuishia kuwa ma single mom. Warembo wengi pia huwa hawana bidii kwenye kazi ya mikono yao kuanzia darasani hadi kwenye biashara, ndiyo sababu kubwa wanaume wenye ndoto kubwa hawababaishwi na urembo wa wanawake Bali uwezo wa kujiongeza.
 
Salaam wakuu,

Habari za weekend?? Well, moja kwa moja kwenye mada wakuu, hua najiuliza kwanini watu wengi waliofanikiwa kimaisha unakuta wameoa wanawake wakawaida sana (sio warembo kwelikweli).

Japo ndio wapo baadhi ambao wameoa pisi kali lakini nimejaribu kufuatilia nikagundua asilimia kubwa ya watu hawa unakuta wana wake wa kawaida sana ukilinganisha na mafanikio Yao (ana uwezo wa kukamata pisi kali ya yoyote nakuiweka ndani).

Kila jambo lina wakati wake

Kwa maisha ya sasa kijana unahitaji mwanamke msomi ambae atakupa changamoto za kukufanya upambane na maisha
 
Sababu mpaka mtu anafanikiwa pakubwa basi mtu huyo ana akili na mawazo yake yote amewekeza kwenye maendeleo yake na sio wanawake wala ngono.

Jiulize kwanini masikini wanapenda wanawake na ngono.
Na kwa wanawake 24 hours wanafikiria ngono.

Ukiona mtu 24hours anafikiria wanawake na ngono basi huyo masikini.
Na umasikini wake asilimia 80% umetokana sababu hana akili.
 
Nasikitika sana WADAU wameshindwa kabisa kumuelewa mleta MADA.

Hii MADA ilikuwa tamu sana kuchangia, tatizo MADA imeshapindishwa maudhui na wachangiaji wa mwanzo, basi watakaofuata watashindwa kuchangia na badala yake inakuwa kumshambulia mleta MADA
 
Kwanza warembo wengi huwa hawaolewi na wakiolewa hawadumu kwenye ndoa zao kutokana na jeuri na kiburi Cha urembo. Huwa wanajidanganya kuwa kutokana na urembo wao hawawezi kuwa chini ya mwanaume. na ndiyo hupelekea kuachika na wafikapo above 35 kuishia kuwa ma single mom. Warembo wengi pia huwa hawana bidii kwenye kazi ya mikono yao kuanzia darasani Hadi kwenye biashara, ndiyo sababu kubwa wanaume wenye ndoto kubwa hawababaishwi na urembo wa Wanawake Bali uwezo wa kujiongeza
Imeisha hiyo mkuu
 
Back
Top Bottom