Kwanini Watu wengi huwa na uoga wa kupima afya zao?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Mimi katika Watu ambao wana uoga wa kupima afya Zao nafikiri Mimi wa kwanza

Kuna siku niliwahi kupimwa nikaonekana Na ugonjwa wa hepatitis B

Nilivyo muhuliza doctor dalili za ugonjwa huo ni nini?

Akaniambia, nikachunguza kabisa katika maisha yangu kama nimesha wahi kupatwa Na dalili izo Nikangundua hapana kabisa. Nika angalia toka ni zaliwe adi kufikisha miaka 19 Nilikuwa bado sijafanya mapenzi na mwanamke.

Nilijaribu kujitetea kwa madoctor hehe bwana awa Watu sio wazuri wana mfanya mtu akate tamaa ya kuishi
 
Moja ya kitu kinaniwazisha ni jinsi nitakavyoenda kliniki na mwanamke nitakaempa mimba.

Kama kuna ka mbinu tafadhali wakuu
Hahahaha mkuu acha uoga mara ya kwanza lazma uende naye lasivyo hapewi huduma. Utapwa ukimwi tu ili kujua afya zenu
 
Mimi katika Watu ambao wana uoga wa kupima afya Zao Na Fikiri Mimi wa kwanza
And Kuna siku niliwai kupimwa nikaonekana Na ugonjwa wa hepatite B...
Pole kwa kuogopa kupima. Bila shaka unapita njia ambazo zina vikwazo na changamoto nyingi.

Mwisho kabisa jitahidi kutumia herufi 'h' sehemu sahihi. Mfano ivi - hivi, uwaga - huwa, awa - hawa, adi - hadi , niliwai - niliwahi, ugonjwa uo - ugonjwa huo, muhuliza - muuliza, izo - hizo, apana - hapana, nimesha wai - nimeshawahi! nk!!
 
Back
Top Bottom