Kwanini watu wengi hushindwa kupanga malengo??

Ngalimoto

Member
Dec 19, 2015
9
5
Wasaalam wakuu
Kama kichwa kinavyojionesha hapo juu swali langu la msingi ni kwanini watu wengi hasa sisi ( watu weusi) tunashindwa kujipangia malengo??namaanisha clear,written,measurable and time-bounded goals...
 
Wewe umeweza?huko uliko nyie n weusi?tuanzie hapo kisha upewe jibu.
 
Wasaalam wakuu
Kama kichwa kinavyojionesha hapo juu swali langu la msingi ni kwanini watu wengi hasa sisi ( watu weusi) tunashindwa kujipangia malengo??namaanisha clear,written,measurable and time-bounded goals...
Mkuu katika hoja yeyote ile penda kujitumia wewe mwenyew binafsi mf. ''kwanini mimi nashindwa kujipangia malengo'' alafu hapo ndio utasaidiwa mawazo mazuri na hadhira kwa ujumla..

Nasema hivyo kwa sababu una uhakika gani watu wengine hawawezi kujipangia malengo nk.

Mwisho kabisa hata kama hao hadhira hawawezi kujipangia malengo, wewe huna uwezo wa kuwabadilisha namna walivyo zaidi na zaidi wewe pekee ndio mwenye maamuzi ya kujibadilisha uwe mtu wa kutimiza malengo yako na Maisha yakasonga. Ukikaa kuangalia kwann watu wako hv ama vile unakua unapoteza uwezo wa kujichunguza wew binafsi.
 
Mm pia ni MTU mweusi.

Lakini napanga malengo yangu na yanaend kama nilivyopanga nashukuru mungu.

Yahni ninapanga nafanya hivi labda after 2 years nahitaji nifike hapa basi ndivyo yanavyoenda mm ni mmoja wa watu weusi wanaoishi kwa malengo hata kama ya muda mlefu basi nitapambana NayO hadi nifanikiwe
 
watu weusi ndio watu Gani ? umejuwaje kuwa watu hawana malengo?
>Watu weusi kwa maana ya waafrika..
>Naishi katika jamii most of them ukiwauliza hawana malengo yeyote thus why nimeuliza kwanini??
 
Wasaalam wakuu
Kama kichwa kinavyojionesha hapo juu swali langu la msingi ni kwanini watu wengi hasa sisi ( watu weusi) tunashindwa kujipangia malengo??namaanisha clear,written,measurable and time-bounded goals...
Hatuna nidhamu ya fedha.
Hatuna kipato cha kutosheleza
Extended family
Tunaplan tukishapata pesa, wenzetu Wana plan kabla hawajapata.
Hatuna vipaumbele
 
Vipi wewe! Upo kundi lipi hapo?
Lete data zako ulingoni, kama huna hata wewe umeshindwa na hoja yako kipofu.
Mkuu mi naweza nikawa kundi lolote apo but issue nayotaka kujua je ni vitu gani vinasababisha mtu/watu washindwe jiwekea malengo??
 
Mkuu katika hoja yeyote ile penda kujitumia wewe mwenyew binafsi mf. ''kwanini mimi nashindwa kujipangia malengo'' alafu hapo ndio utasaidiwa mawazo mazuri na hadhira kwa ujumla..

Nasema hivyo kwa sababu una uhakika gani watu wengine hawawezi kujipangia malengo nk.

Mwisho kabisa hata kama hao hadhira hawawezi kujipangia malengo, wewe huna uwezo wa kuwabadilisha namna walivyo zaidi na zaidi wewe pekee ndio mwenye maamuzi ya kujibadilisha uwe mtu wa kutimiza malengo yako na Maisha yakasonga. Ukikaa kuangalia kwann watu wako hv ama vile unakua unapoteza uwezo wa kujichunguza wew binafsi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom