Kwanini watu wengi huona aibu kujamba mbele ya wapenzi wao?

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
imekua ni aibu sana kujamba mbele za watu au kwenye gari nk hv ni ajabu kwani kujamba mbele ya mpenzio? maana mm nimekua na tumbo kujaa ges sana na kutoa ushuzi huwa sioni aibu kutoa ushuzi mbele ya wife.. Kuna rafiki yangu ananiambiaga yeye anaona aibu kutoa ushuzi mbele ya dem wake.. hv Kuna aibu kujamba?
 
Ila na wewe!
 
Ni utamaduni wa mwafrika maana sio unawajambia watu ovyo na kuharibu hali ya hewa.imagine umekula mayai ya kuchemsha,karanga na mahindi ya kuchoma halafu ujambe mbele za watu wanaokula.hapo watakususia chakula ndugu.
 
Dah.

Unakaza tako macho unayatoa pima, zuia ushuzi hadi utaghaili wenyewe.

Kujilegeza sana utajamba mbele za wakweee
 
Teh Teh Teh Teh Teh kujamba ni muhimu kwa maendeleo ya afya yako. ..Jamba uwezavyo mahali popote
 
Dah nilikaa sehem dogo alikaa kihasarahasara akajamba kijambo vha wastani ambacho kilisikika katika hali ya ustaarabu. Yule bint akainuka na kusepa nduki kali ila kwa vile mm sina tabia za ajabu kama wewe unayesoma hapa basi nkauchuna kama hakijatokea kitu
Hapo tunsema nilitumia hekma
 
Back
Top Bottom