Kwanini watu wazima hawapati mapunye kichwani kama ilivyo kwa watoto

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Kwanini watu wazima hawapati mapunye kichwani Kama ilivyo kwa watoto.

Maana watoto wengi hukumbwa na tatizo hili!
 
1.Kinga ya mwili ya mtoto iko chini hvyo sometimes hushndwa kupambana na vimelea vya magonjwa.
2.watu wazima hufanya usafi wa mwili kwa usahihi kuliko watoto wadogo
 
dawa ni kuifurusha CCM madarakani kuanzia serikali za mitaa, udiwani, ubunge adi urais, mambo mengine yatakaa sawa
 
Back
Top Bottom