Kwanini watu wanawaogopwa Wakwe zao; ni mila mbaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini watu wanawaogopwa Wakwe zao; ni mila mbaya?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, Jul 31, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kila kabila lina utamaduni na utaratibu wake kuhusiana na mahusiano ya wakwe. Kwa mfano, makabila mengine wakwe hawawezi kutamazana au hata kuwepo mahali pamoja. Makabila mengine kule kwenda kujitambulisha kwa wakwe tu ni kimbembe kwani kuna mchakato wa aina yake. Hata siku ya harusi au hata ndoa kuna mambo ambayo yanawahusu wakwe tu. Je, tunaweza kushirikishana mila na desturi za jamii zetu linapokuja suala la wakwe na ni kwanini kuna desturi hizi hasa?
   
Loading...