Kwanini watu wanapinga sana na serikali muda mwingi imekuwa ikihaha kujibu?? Why awamu hii??

Kinambeu

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
906
453
Wanabodi,

Asalaam alaikum, nimeona kuna jambo linakuwa sana miongoni mwa jamii yetu sasa tabia ya kupinga kila jambo na Serikali kukanusha kila jambo. Why awamu hii imekuwa hivi?

Angalia taharuki ya kupanda Kwa dollar na mambo mengine why watu wanafanya haya?? Sababu yake ni nini? Mwisho wake ni nini? Na nini kifanyike?

Halafu kumezuka tabia ya kila mtu kujifanya msemaji wa Serikali hasa awamu hii kwanin najiuliza?? Wanataka nini? Kwa faida ya nani? Nani Yupo nyuma yao?. Tatizo kubwa ni namna wanavyokanusha kila mtu husema lake, hata taasisi za serikali nazo zimegeuka kufanya siasa na sijuwi kwanini wanafanya haya? Msemaji wa serikali Yupo wapi? Kazi yake ni nini?

Nawasilisha.
Senkenke, Shelui.
 
Ni kwa sababu serikali ya awamu hii imeamua kufanya mambo kinafiki, na kwa sirisiri as if Tanzania ya Leo ni ile ya "naintini kweusi".
 
Rule of thumb: Egoism is inversely proportional to abilities. Mimi ndio fulani, mimi sipangiwi, mimi najiamini n.k n.k
Mimi napenda "deadlines"
 
Hakuna mtu anaweza kila kitu duniani..! It's time to admit where things aren't doing poa...! Ni ushamba tu kukomaa kitu kinachoonekana dhahiri ni dhaifu kusema kiko sawa.
 
Ukweli ni kwamba watu wameshikwa.

Wako tayari hata kuzusha chochote tu,hili la dolar BOT imekanusha,ajabu ni kwamba watu hawakubari.

Njaa za madili zimehamia vichwani,hakuna kufikiri tena.
 
Kwa sababu tumekabidhi nchi kwa malimbukeni na washamba wa madaraka
 
Hao wanaohaha wanalinda nafasi zao chief. Ukiwa mfanyakazi wa kimyakimya serikali hii haikutambui
 
Hali inabadilika pia....watanzania wenye utambuzi na wafuatiliaji wa mambo wameongezeka, wasomi wengi wanaingia mtaani kwa kasi ....vyuo vingi sana siku hizi, mitandao inakua kwa kasi sana..globalization....kuzidi kujitambua na kujua kuwa wananchi ndo wanaiweka serikali madarakani na wanahaki ya kuhoji..
In 10 years to come....nchi hii itahitaji mtawala mwenye busara sana...kwanza watoto wa dot com haswa ndo watakua watu wazima walio wengi...
Hawa hawajui mambo ya zidumu fikra za nani, ujamaa hewa na mambo kama hayo.....
 
Wanabodi,

Asalaam alaikum, nimeona kuna jambo linakuwa sana miongoni mwa jamii yetu sasa tabia ya kupinga kila jambo na Serikali kukanusha kila jambo. Why awamu hii imekuwa hivi?

Angalia taharuki ya kupanda Kwa dollar na mambo mengine why watu wanafanya haya?? Sababu yake ni nini? Mwisho wake ni nini? Na nini kifanyike?

Halafu kumezuka tabia ya kila mtu kujifanya msemaji wa Serikali hasa awamu hii kwanin najiuliza?? Wanataka nini? Kwa faida ya nani? Nani Yupo nyuma yao?. Tatizo kubwa ni namna wanavyokanusha kila mtu husema lake, hata taasisi za serikali nazo zimegeuka kufanya siasa na sijuwi kwanini wanafanya haya? Msemaji wa serikali Yupo wapi? Kazi yake ni nini?

Nawasilisha.
Senkenke, Shelui.
Duh kwakweli hii kali hadi bashite amekuwa msemaji wa serikali
 
Tukumbushe wakati wa Nyerere pia kama ulikuwepo. Serikali rafiki ni serikali jizi
 
Hii ni dalili ya kwamba wananchi wenye uelewa wa mambo wamekuwa wengi, na wakati huohuo serekali inalazimisha kuonyesha iko sahihi hata kwa kupika data. Matokeo yake kila wananchi wakizungumza ukweli kuhusu mambo kutokuwa sana juu ya uongozi wa nchi, serekali inabidi itokee haraka kuhakikisha wananchi hawajui udhaifu uliopo.
 
Back
Top Bottom