Kinambeu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 906
- 454
Wanabodi,
Asalaam alaikum, nimeona kuna jambo linakuwa sana miongoni mwa jamii yetu sasa tabia ya kupinga kila jambo na Serikali kukanusha kila jambo. Why awamu hii imekuwa hivi?
Angalia taharuki ya kupanda Kwa dollar na mambo mengine why watu wanafanya haya?? Sababu yake ni nini? Mwisho wake ni nini? Na nini kifanyike?
Halafu kumezuka tabia ya kila mtu kujifanya msemaji wa Serikali hasa awamu hii kwanin najiuliza?? Wanataka nini? Kwa faida ya nani? Nani Yupo nyuma yao?. Tatizo kubwa ni namna wanavyokanusha kila mtu husema lake, hata taasisi za serikali nazo zimegeuka kufanya siasa na sijuwi kwanini wanafanya haya? Msemaji wa serikali Yupo wapi? Kazi yake ni nini?
Nawasilisha.
Senkenke, Shelui.