kyene kyaka
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 318
- 318
Mughonile bhakamu,
Toka mwaka jana nimekaa muda wote nafikilia sasa leo nimeona niilete hii kwa wenzangu mnieleweshe kidogo.
Mana kuna vyeo kinaitwa Doctorate au kwa ufupi tunaita Dr.
Sasa hiki cheo mpaka mtu kupewa najua lazima mtu apewe either uwe na three degrees au iwe professional yako kwa mfano Dr. Kigwangala.
Lakini naona kuna watu hawana hata hiyo elimu lakini wanaitwa hivyo ndo ninapobaki na swali na wengine walifeli shule lakini leo wanaitwa Dr.fulani imekaaje hii?
Mfano Dr Malecela(Waziri mkuu mstaafu), Dr. Gwajima, Dr Jakaya kikwete, Dr.kiongozi Lwakatare.
Kyenekyaka mkighanile une