Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Habari wadau?
Ukiishi duniani ni vigumu kuwaepuka jirani marafiki ndugu nk. Lakini kuna mahali ambapo unapitia unahisi kabisa mtu fulani anakuumiza kwa vitendo vyake anavyofanya kwa kufanya mambo ambayo anajua yatakuumiza.
Hii inakuaje hujagombana na mtu lakini ukimsikia anavyoongea ( VOICE TONE) unahisi hakuna usalama kati yenu wawili.
Hii inakuaje wana bodi?