Kwanini watu wanaoishi jirani na wewe ndio wana uwezo wa kukuumiza?

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Habari wadau?

Ukiishi duniani ni vigumu kuwaepuka jirani marafiki ndugu nk. Lakini kuna mahali ambapo unapitia unahisi kabisa mtu fulani anakuumiza kwa vitendo vyake anavyofanya kwa kufanya mambo ambayo anajua yatakuumiza.

Hii inakuaje hujagombana na mtu lakini ukimsikia anavyoongea ( VOICE TONE) unahisi hakuna usalama kati yenu wawili.

Hii inakuaje wana bodi?
 
Kuna watu wanahukumiwa kwa sauti wanayoitoa wakati mnaongea
ndivyo walivyo sio kwamba wamekasirika.

Hata wenyewe wanashangaa mkiwahukumu.
 
Kweli mkuu, Maana kila mahali kuna watu ambao wako tofauti, Ukiwa mwema kwao wanazidisha ukal
uvumilivu pekee ndo njia itakayokurahisishia maisha ya duniani tofauti na hapo utahama kila mtaa na kila kona.
 
Mkuu kama unafanyiwa hayo nakupa big up sana baba! jua kabisa uko juu na una tisha, wanakuogopa ni ile kinyama, wanatamani wangekuwa kama wewe!

ukiangalia sana kuna kitu umewazidi!!!! zidisha kujitenga na kundi mnaloendana halafu usiwajibujibu hata wakikushambulia, kwa maneno! ondoka zako!. wanatafuta attention kwako!

jipandishe vaaa vizuri, jitengeneze saloon za kiume lkn ipende familia yako maradufu, fanya mafanikio weka mipaka, cheka nao, sema nao kwa nadra, wajue kuwa unaringa kweli!!! ficha mapungufu yako, jua sana mapungufu yao! yatafute tuu! ndiyo siraha utakayo wapigia!!!!

Usiombe ushauri wao. wala msaada wao! wanatabia za kulazimisha misaada ikwepe! ndiyo dawa ukiwa nao hao utajiona Duni sana. na hii iko kwa Baba. mama , dada, ndugu marafiki nk, ila wapende kwa tahadhari kubwa! but wasikujue kiviile!

Ndgu rafiki wa ukweli utapata tu, mfano Kanisani, Kwaya, Msikitini, vikobani, Kazini, Michezoni, jifunze hata muziki, kwenye vyama vya Mikoa vya kuzikana hawa ukipata shida km Msiba , Harusi, kipaimara watakuja kukupa company!

Watakuja kujazana kwako hutoi hata senti tano watapika hao mtapiga story weee! Unanenepa tu baba. wakija wasipokuja watajiju wala usiwaulize! watapewa habari tu! kulivyo noga! hautegemei tena wajingawajinga hao!
 
Kumbuka hata Mungu katoa onyo kuhusu watu wa karibu yako kuwa wapende, na adui ni mtu wa karibu hivo wanaendana

akaonya tena Luka 21;16 soma hii
 
Mkuu kama unafanyiwa hayo nakupa big up sana baba! jua kabisa uko juu na una tisha, wanakuogopa ni ile kinyama, wanatamani wangekuwa kama wewe!

ukiangalia sana kuna kitu umewazidi!!!! zidisha kujitenga na kundi mnaloendana halafu usiwajibujibu hata wakikushambulia, kwa maneno! ondoka zako!. wanatafuta attention kwako!

jipandishe vaaa vizuri, jitengeneze saloon za kiume lkn ipende familia yako maradufu, fanya mafanikio weka mipaka, cheka nao, sema nao kwa nadra, wajue kuwa unaringa kweli!!! ficha mapungufu yako, jua sana mapungufu yao! yatafute tuu! ndiyo siraha utakayo wapigia!!!!

Usiombe ushauri wao. wala msaada wao! wanatabia za kulazimisha misaada ikwepe! ndiyo dawa ukiwa nao hao utajiona Duni sana. na hii iko kwa Baba. mama , dada, ndugu marafiki nk, ila wapende kwa tahadhari kubwa! but wasikujue kiviile!

Ndgu rafiki wa ukweli utapata tu, mfano Kanisani, Kwaya, Msikitini, vikobani, Kazini, Michezoni, jifunze hata muziki, kwenye vyama vya Mikoa vya kuzikana hawa ukipata shida km Msiba , Harusi, kipaimara watakuja kukupa company!

Watakuja kujazana kwako hutoi hata senti tano watapika hao mtapiga story weee! Unanenepa tu baba. wakija wasipokuja watajiju wala usiwaulize! watapewa habari tu! kulivyo noga! hautegemei tena wajingawajinga hao!
We jamaa nimekukubali
 
Madini tupu Mkuu
Shukrani sana
 
Back
Top Bottom