Kwanini watu wanaogopa sana kuiba umeme wa TANESCO kuliko maji ya DAWASCO?

Kwasababu hata tanesco wenyewe wameweka backup ya jenereta ofisini kwao sasa utaibaje kitu ambacho hakiaminiki
 
Hahahah, uliiba umeme ni mzee?!
Nishawapiga sana,enzi zile luku za kadi kupunch
Alafu kna moja nlijiunganishia umeme wa mazabe,direct....ilibid nkimbie nyumba maana pira +tanesco muda wote walikuwa wanantimbia
Ttcl nao nna visa vyao...
Kwa kifupi jamaa wakikugumia utaishi kwa shida sana

Ova
 
Back
Top Bottom