Kwanini watu wanakumbushia?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa wako na wapenzi wengine au na ndoa zao!

yanipita uwezo wangu wa kufikiri.. Sasa mtu akikataa kukumbushia ndio inakuwa urafiki wenye mashaka?
 
kwa mara ya kwanza tangu nijiunge jamii!
HAYA BWANA

MAHAWARA HAWAACHANI...
 
Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa wako na wapenzi wengine au na ndoa zao!

yanipita uwezo wangu wa kufikiri.. Sasa mtu akikataa kukumbushia ndio inakuwa urafiki wenye mashaka?

Kukumbushia huwa kunakuwa ''very automatic'' na hasa hasa kukiwa na nafasi na mazingira yanayoruhusu zaidi, mfano mkutane nje ya mji/nchi mnayoishi mkiwa safarini. Kwa hiyo hakuwezi kuharibu urafiki! Na siyo wote waliowahi kuwa na mahusiano kisha wakaachana wanaweza kukumbushia.
 
If a relationship ends because the man was not treating you, as you
deserve then heck no, you can't "be friends".
A friend wouldn't mistreat a friend. Don't settle
 
Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa wako na wapenzi wengine au na ndoa zao!

yanipita uwezo wangu wa kufikiri.. Sasa mtu akikataa kukumbushia ndio inakuwa urafiki wenye mashaka?

MMM - Tumshukuru Mungu Leo ni Ijumaa! (TGIF)
 
Yeah ni kweli kukumbushia muhimu na kama umeoa mke used ukae ukijua mahawala iwa hawaachani hata wakipotezana miaka 20 au 30 lazima wakumbushie penzi lao la dhamani hii haikwepeki.
 
tena mwanamke ''UKIM-BIKIRI'' ndo umemaliza kazi........!
 
jamani hii hatari eeh na hii Topic iko vere sensitive
Hivi mabinamu nyie mkikutana na ma -X wenu milioachana nao kwa uzuri mnaweza kukumbushia?
ZD ,Geoff ,Nguli ,Xpin Kaizer ..,camel MJ1 ,bht ,Pretty ,Lilly,Pearl ,na wewe Klorokwin dawa ya Maralia ...

lakini si vyema kukumbushia labda kama mko singo mnaweza kuurudisha uhusiano ili uchukue hatua mpya zaidi
 
If a relationship ends because the man was not treating you, as you
deservethen heck no, you can't "be friends".
A friend wouldn't mistreat a friend.Don't settle

That is why kukumbushia is not someone's right, its a favour and he/she has to earn it. Ni kama ''tip'' tunayotoa tukiwa bar, mhudumu huwa anatakiwa ''kui-earn'' kutokana na ubora wa huduma yake!
 
Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa wako na wapenzi wengine au na ndoa zao!

yanipita uwezo wangu wa kufikiri.. Sasa mtu akikataa kukumbushia ndio inakuwa urafiki wenye mashaka?
mWANAKIJI heshima kwako mkuu, Penzi haliishi aisee, huba ni kitu cha ajabu.
 
dudu hata mimi sijui kwanini watu huwa wanakumbushiana. mara nyingi kinachotakiwa ni convinience place only, time can be solved out.
 
mimi huwa naomba mungu nisimtie MACHONI eksi wangu!....:D
ataniharibia ndoa
 
tena mwanamke ''UKIM-BIKIRI'' ndo umemaliza kazi........!

Binamu tafadhali punguza ukali wa maneno. Kwa Kiswahili fasaha nasema tumia tafsida. Leo ni tumekubaliana kuwa kimaadili zaidi, na siku ya heshima kwa wanawake wa forum na duniani kote! :)
 
jamani hii hatari eeh na hii Topic iko vere sensitive
Hivi mabinamu nyie mkikutana na ma -X wenu milioachana nao kwa uzuri mnaweza kukumbushia?
ZD ,Geoff ,Nguli ,Xpin Kaizer ..,camel MJ1 ,bht ,Pretty ,Lilly,Pearl ,na wewe Klorokwin dawa ya Maralia ...

lakini si vyema kukumbushia labda kama mko singo mnaweza kuurudisha uhusiano ili uchukue hatua mpya zaidi
With due respect, FL wewe huwa hukumbushii? :)
 
Binamu tafadhali punguza ukali wa maneno. Kwa Kiswahili fasaha nasema tumia tafsida. Leo ni tumekubaliana kuwa kimaadili zaidi, na siku ya heshima kwa wanawake wa forum na duniani kote! :)
sasa mzee kubikiri ni TUSI?
 
Alafu mm haka katabia ka kukumbushia ninako sana hata nikienda kijijini lazima nikumbushie nikienda Chuda lazima nikumbushie nikienda Shycom lazima nikienda Mbeya lazima nitafute koloni langu la enzi hilo na tunakumbushia.
 
jamani hii hatari eeh na hii Topic iko vere sensitive
Hivi mabinamu nyie mkikutana na ma -X wenu milioachana nao kwa uzuri mnaweza kukumbushia?
ZD ,Geoff ,Nguli ,Xpin Kaizer ..,camel MJ1 ,bht ,Pretty ,Lilly,Pearl ,na wewe Klorokwin dawa ya Maralia ...

lakini si vyema kukumbushia labda kama mko singo mnaweza kuurudisha uhusiano ili uchukue hatua mpya zaidi
nikiwa na waifu nitajifanya kumkandia ex wangu tena ikiwezekana ntajifanya kupiga gumi ukuta ili kuzihirisha hasira zangu za kumchukia. lakini nikiwa bafuni alone kumkumbukia lazima! kuna vipigo flani flani lazima utavikumbuka tu hata ukiwa mazikoni! he he he
 
Back
Top Bottom