Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa wako na wapenzi wengine au na ndoa zao!
yanipita uwezo wangu wa kufikiri.. Sasa mtu akikataa kukumbushia ndio inakuwa urafiki wenye mashaka?
yanipita uwezo wangu wa kufikiri.. Sasa mtu akikataa kukumbushia ndio inakuwa urafiki wenye mashaka?