Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,560
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu nadhani utakuwa ushawahi kuona watu wakiwa wanaenda kuzika kunakuwa kuna msongamano wa watu kila mtu akitaka kugusa jeneza. Hii kitu imekaaje yaani kuna nini nyuma ya hii kitu watu kutaka kuligusa tu na unakuta mwingine hamjui hata aliyefariki nani lakini unakuta anakimbilia kugombania kuligusa.
Je ni kwamba watu wanataka tu wahakikishe kwamba umekufa kweli au kuna mavuno unayapata kutokana na tendo hilo kama ni ivyo mbona unakuta mtu mwingine aliyekufa walikuwa maadui lakini anakimbilia kulishika.
Wajuzi wa mambo tunaomba ufafanuzi kuhusu hii kitu.