Kwanini watu wana imani kubwa juu ya uwepo wa Shetani kuliko uwepo wa Mungu?

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Sep 29, 2019
1,317
1,229
Nini maoni yako?

IMG_20191109_174911_471.jpeg
 
Kwa sababu shetani aliyempa mamlaka ya yeye kututawala na kutufanyisha maovu wakati sisi tumeumbwa na mtukufu ndo kizungumkuti kinachompa nguvu kuliko Mungu.
 
Lakini kila binadamu anaamini shetani yupo? Hata kiranga pia au kiranga sio binadamu
 
Kuna mtu anayeamini uwepo wa shetani bila ya Mungu, nachojua ushetani na Uungu ni sawa na ubaya na uzuri hivyo hakuna kinachoweza kuwapo independently
 
Mungu na shetani ni sisi wenyewe

Mungu ni chanya na shetani ni hasi, ukifanya mambo yaliyochanya utakua mungu na ukifanya yaliyohasi utakua shetani. Nje na hapo ni stori tu

Ushawahi jiuliza kwanini kila dini ina mungu wake lakini shetani ni yule yule?
 
Shetani na Mungu ni vitu vinavyotegemea ili kutenda kazi
Yaani Mungu anamtegemea Shetani kutenda kazi

Basi na haki zote za kusema huyo Mungu ni mpumbaavu

Ila Mungu wangu nayemwamini. Na nnayemjua hamtegemei shetani
 
Back
Top Bottom