Kwanini watu wa kutoka bara wana misimamo mikali kupitiliza.

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,273
21,436
Kuna jilani wetu hapa hu ni mwaka watatu asalimii wala kushirikiana na majilani wenzie ni mtu wa mikoani , ana makasiriko kibao yule acha tu, mtu wa bara akifumania mkewe hawezi kusamahe hata kumsikiliza tena, ni kutaka kumkata visu kumuua, hilo ni melishuhudia mwenyewe, ukimkosea jambo hawezi kukusamehe mpaka alipize visasa hilo ni mekutana nalo uko high school, hata akichinja mbuzi hawapi majirani wake hata kipande cha nyama hilo na liona hapa mtaani kwetu. Ni kwanini ni kwasbb ya vyakula vyao au kutokua na imani na hofu ya Mungu?......
 
Kuna jilani wetu hapa hu ni mwaka watatu asalimii wala kushirikiana na majilani wenzie ni mtu wa mikoani , ana makasiliko kibao yule acha tu, mtu wa bara akifumania mkewe hawezi kusamahe hata kumsikiliza tena, ni kutaka kumkata visu kumuua, hilo ni melishuhudia mwenyewe, ukimkosea jambo hawezi kukusamehe mpaka alipize visasa hilo ni mekutana nalo uko high school, hata akichinja mbuzi hawapi majilani wake hata kipande cha nyama hilo na liona hapa mtaani kwetu. Ni kwanini ni kwasbb ya vyakula vyao au kutokua na imani na hofu ya Mungu?......
Watu wa mikoani % kubwa wamelelewa kiubinafsi hata Mimi huwa nashangaa Sana wanaroho mbaya Sana

Watu wa Pwani roho nzuri Sana wapo na utu Sana .
 
Kuna jilani wetu hapa hu ni mwaka watatu asalimii wala kushirikiana na majilani wenzie ni mtu wa mikoani , ana makasiliko kibao yule acha tu, mtu wa bara akifumania mkewe hawezi kusamahe hata kumsikiliza tena, ni kutaka kumkata visu kumuua, hilo ni melishuhudia mwenyewe, ukimkosea jambo hawezi kukusamehe mpaka alipize visasa hilo ni mekutana nalo uko high school, hata akichinja mbuzi hawapi majilani wake hata kipande cha nyama hilo na liona hapa mtaani kwetu. Ni kwanini ni kwasbb ya vyakula vyao au kutokua na imani na hofu ya Mungu?......
Westernised type of life. Kama umeishi ulaya hili haliwezi kuwa tatizo kwako. Nami napenda maisha ya upekee. Miingiliano ya uswahilini wa pwani siitaki!
 
Westernised type of life. Kama umeishi ulaya hili haliwezi kuwa tatizo kwako. Nami napenda maisha ya upekee. Miingiliano ya uswahilini wa pwani siitaki!
Mkuu, binafsi naona sio sahihi.
Jirani yako kabisa anakununia bila sabab,mnapishana utadhani mnaugomvi?

Alafu akipata tatizo huyo huyo anakuwa wa kwanza kuomba msaada kwa jirani zake asio wasalimia au kuongea nao.

Mtoa mada nadhani umeniwahi, nami nilikuwa njian kuandika post kama hii! Hili sio tatizo la watu wa mkoani tu, pengine ni hulka za watu! (Nikitumia neno ushamba nitakuwa nimewakosea).

Hii tabia ni mbaya sana.
 
Sema watu wa Mikoani ndo wanaongoza
 
Watu wa pwan utu wao upo mdomoni wanaongea vizur mbele yako ila wanapend kuwajadili watu na kumtaka kila mtu kumjua na wanapend kuwaangilia watu usoni siku zote ata kama anakujua au ata kama uish nao miaka 100 wao watakushangaa tuu, misaada yao wanao Toa hupenda kulipwa bila kuchelewa , Hawana Utu wa vitendo bali ni maneno mbele yako na kukusema kuptia shida yako

Wiki nilifk eneo moja kwakuw mgen nikajitambulish Status yangu na jina mmoja boya mmoja akaaona utalisho haujatosha akaulz mwenyew wawap nkakaa Kimyah

Mfano wew mtu wa pwan ambae umeona kuw jamaa asalimii ikakuuma

Watu wa bara anawez asikusalimie lakn ukiwa na shida Akusaidie na akaendelea na mambo yake
Bara wana Utu wa vitendo hawapend malipo , Watu wa bara wako westernised sana wanafanya mambo yao sana na watumia connection vizur sio vijungu vijiwe.
Hawana muda wa kujadili ya watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom