Kwanini watu wa Bongo Muvi na Bongo Fleva wanatumika kama mabalozi wa Royal tour?

Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?

Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.

Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.

Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!

Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujinga

View attachment 2205641
Hakuna awamu ya 6. Serikali ilishaingia madarakani baada ya uchaguzi. Kimsingi wahusika wote ndo wale wale. Aliyeondoka ni mmoja. Tumepewa akili tuzitumie
 
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?

Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.

Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.

Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!

Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujinga

View attachment 2205641
We pimbi awamu ya sita iteue uitukane awamu ya tano! Pumba tupu!
 
Sina ukaribu na Mama wala cheo au kazi yoyote serikalini. Kama atasoma hapa basi inatosha. Mama toa sukuma gang wote kwenye system, watakuharibia kwa ushamba wao na umasikini.
Halo sukuma gang mnaowataja hapa naona wanamisha mazuri kuliko hata wewe! Au linamaanisha nini? Ushakaririshwa wasukuma hawana hela! Ukiwa hapo Dar una panda daladala na kunuka mijasho unadhani maisha umeyapatia! Tembea uone pimbi wewe!
 
Kwa sababu ni WASANIII janja janja nyingi Uongo na KUIGIZA mambo yasiyo HALISI ndio awamu hii ILIKO.Kama wewe ni mkweli UTASUBIRI SANA
 
Halo sukuma gang mnaowataja hapa naona wanamisha mazuri kuliko hata wewe! Au linamaanisha nini? Ushakaririshwa wasukuma hawana hela! Ukiwa hapo Dar una panda daladala na kunuka mijasho unadhani maisha umeyapatia! Tembea uone pimbi wewe!
Pimbi ni wewe, unadandia gari kwa mbele. So akili yako imekwambia Sukuma gang ina uhusiano na kabila la wasukuma? Pathetic
 
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?

Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.

Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.

Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!

Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujinga

View attachment 2205641
Hiyo wanaita loyo tuwa ni siasa Inafanyika sio biashara
 
Bado naona hii issue ya ubalozi ni petty issue tu, Ni sawa na kipindi kile watu walivyokomalia Steve kuteuliwa sijui kuwa Msemaji. Aaarrghh sio issue ambayp jamii ilipaswa kukomaa vile ,ikiwa Kuna report ya upotevu wa mabilioni iliyopaswa kukomaliwa.

Kama hapo juu kuna hiyo habari ya Tanesco kupiga hiyo bil 60, hapo ndio jamii inapaswa ikomalie kujua imekuwaje.
Hayo mambo yanaanzia kwenye ujinga wa kuteua watu wa ovyo. Unakumbuka Magufuri kwenye ziara yake alitamka wazi Kuwa angetamani Harmonize awe mbunge kiss kamtungia wimbo mnzuri wa kumsifia. Basi serikali tote ikaanza kuwapachika Hawa wasanii kwenye fursa kama malipo ya kuwashododea kipindi Cha kampeni.
 
Tatizo kubwa mnoo la nchi hii Ni WIVU, UJINGA, UPUMBAVU na UMSUKULE.

Watu hawana AGENDA ZAO, wako nyuma ya agenda na MASLAHI YA WATU wengine.

Unataka Vijana wa BAVICHA wakuone Unafaa sana unachapa kazi, Mute Mbowe mpe maslahi yake.

Unataka Vijana wa Magu wakuone Unafaa sana Msifie Magu na usimkosoa hata kidogo.

Unataka Vijana wa Zitto wakuone Unafaa sana Msifie mungu wao.

Yaani Bongo, kitu unachodhani Ni tatizo, kinaweza kuwa tatizo kubwa au kisiwe tatizo kubwa, INATEGEMEANA NA NANI KAKIFANYA.

Leo Zitto akiongelea UFISADI na Rushwa vya AWAMU ya Tano, CHADEMA, Maria Sarungi na SUKUMA GANG watakesha wanaponda kwasababu itaonekana Kama WANAMPA CREDIT.

Suala la Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi wewe DAI CCM, Ukianza kuhoji jinsi Katiba ya CHADEMA ilivyo na kwanini Wana mwenyekiti wa kudumu utashambuliwa vibaya sana.

Acha uongo CHADEMA hakuna Mwenyekiti wa kudumu, mwakani anachia kijiti chake. Kumbuka aliombwa kugombea Mara ya mwisho. Mwakani tunachagua Mwenyekiti mpya.
 
Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!

Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujinga
Kama kuna ujinga na ulimbukeni unaofanywa ni kuwatumia hawa "vishoka" mnaidhalilisha sana nchi yetu nyie watu!
 
Hao Bongo movie movie zao wenyewe hatuziangalii halafu ndio watushawishi kuangalia Royal Tour.

Hata siwaelewi wahusika wana plan gani.
 
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?

Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.

Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.

Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!

Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujinga

View attachment 2205641
Kwani wewe unaumia kiasi gani wakitumika?
 
Back
Top Bottom