Rangi nyeusi hutumika kumaanisha Aridhi/udongo, nadhani hata kwenye Bendera yetu ya Taifa Rangi hiyo ina maanisha aridhi yetu.
Kwa washika Dini tunaamini kuwa asili ya mwanadamu ni udongo ulioumbwa na Mungu kwa mfano wake, kisha akaupulizia uhai.
Nguo nyeusi inapovaliwa msibani ni ktk kukumbushana kwamba asli yetu wote ni aridhini kama ambavyo marehemu anatangulia /zikwa kwenye kwenye asili yake, na sisi tutafuata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.