Kwanini watu hawa hawatajwi sana kwenye Historia ya TAA na TANU?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Kwanini Akina Hamza Mwapachu, Ally Sykes, Paul Rupia, Dr. Lucian Tsere, Dr. Vedast Kyaruzi na Stphen Mhando hawatajwi sana kwenye Historia ya TAA na TANU?

Wana historia wa Tanzania kuna makala nimeisoma na kuona Jinsi Watu hao walivyokuwa mstari wa mbele katika kutafuta Uhuru wa Tanganyika.

Harakati zao Ndio zilipelekea kuanzisha TAA na kisha TANU. Swali langu je, kwanini Watu hawa Hawapewi Heshima Kubwa ya kuwa Waanzishi wa harakati za kudai Uhuru hata kabla ya BABA wa Taifa?
 
Hii ni kama vile nyumba iliyozaliwa TANU pale mwananyamala wanavyoisahau
 
Ni wakati mzuri tunakapigania historia halisi ya Taifa letu kuliko hiyo ya kujibia mitihani.
 
Back
Top Bottom