Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,325
- Thread starter
- #21
Nadhani
1. Hakikisha wana mahitaji ya muhimu wote (Nyuo, malazi, usafiri ,nyumba nzuri, etc)
2. Tambua mahitaji yao binafsi, ni vyema kumpa baba fedha ili heshima yale iendelee, labda kama ji mlevi sana.
3. Hakikisha ukituma fedha unawapigia simu wote,.
4. Ikiwezekana tumia njia ya kutuma vitu badala ya fedha, wasije kosana uzeeni na kuachana

Sisi wote tunao changia mada umu ni watoto je tunawatunza baba zetu Kama mama zetu? Kama Sio wote tukubaliane tukitoka umu tuanze kutoa 50% 50% kwa baba na mama naiman tukiweza baada ya miaka Mia itakua dunia mzima infanya lakin tukiwa na sisi Kama watoto tunakuja jamiforums kutoa Uzi alafu tukitoka tu tunakimbilia kwa Mama zetu, Yan wengine umu kuongea na baba zao ni mpaka awe anaongea na mama yake akisha maliza zile dakika mbili zilizo Baki ndio utasikia Mama Kama upo na baba Apo mpe nimsalimie
Sent using Jamii Forums mobile app