Kwanini watoto wa sikuhizi hawafanani na baba wala mama zao?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Sababu kuu nikwamba

What women have between their legs is a reproductive system not photocopy machine

Ukijua hili elewaa sasaa n swala la mbegu zozote zinatoa mzigoo....
 
Kama we ni baba na ikatokea mtoto hajafanana na mama yake wala ww mwenyewe basi ujue baba yake yupo na sio ww
 
Ubize wa wabeba ujauzito kukodolea picha za mitandaoni tangu mwezi wa kwanza hadi akiwa leba (mwezi wa 9) hulazimisha chromosomes kupindisha sura ya mtoto tumboni na kuanza kufanana na za akina Bashite, Sepenga,harmorapa n.k badala ya wazazi husika.
Watoto wa zamani tumefanana na wazazi wetu kwa vile kipindi chote cha ujauzito,wazazi wetu walitazamana wao kwa wao kwa upendo huku wakisubiria miezi 9 iishe wapate kiumbe wao....kulikuwa NO smart phone NO flat screen...
Hebu jaribu kumuangalia huyo mjamzito pembeni yako anafanya nini kama sio kuangalia stori za akina Hamorapa tu mitandaoni alafu utegemee toto lifanane na wewe,thubutu!
 
Hawafanani ili kunusuru Ndoa!

Imagine Mkeo azae Mtoto anaefanana na Shamba boi
 
labda wauguzi wanawachanganyia watu watoto mara baada ya kuzaliwa aidha kwa uzembe au kuna utafiti unaendelea.
 
Ubize wa wabeba ujauzito kukodolea picha za mitandaoni tangu mwezi wa kwanza hadi akiwa leba (mwezi wa 9) hulazimisha chromosomes kupindisha sura ya mtoto tumboni na kuanza kufanana na za akina Bashite, Sepenga,harmorapa n.k badala ya wazazi husika.
Watoto wa zamani tumefanana na wazazi wetu kwa vile kipindi chote cha ujauzito,wazazi wetu walitazamana wao kwa wao kwa upendo huku wakisubiria miezi 9 iishe wapate kiumbe wao....kulikuwa NO smart phone NO flat screen...
Hebu jaribu kumuangalia huyo mjamzito pembeni yako anafanya nini kama sio kuangalia stori za akina Hamorapa tu mitandaoni alafu utegemee toto lifanane na wewe,thubutu!
Na ukiwa unamwangalia sana James Decilous na uyu inakuwa vepee:p:p:p:p
 
Sasa hvi tunalea issue ya kufanana achana nayo, kwani hukusikia kule DNA ilionyesha watoto wengi baba zao ni tofauti
 
Ubize wa wabeba ujauzito kukodolea picha za mitandaoni tangu mwezi wa kwanza hadi akiwa leba (mwezi wa 9) hulazimisha chromosomes kupindisha sura ya mtoto tumboni na kuanza kufanana na za akina Bashite, Sepenga,harmorapa n.k badala ya wazazi husika.
Watoto wa zamani tumefanana na wazazi wetu kwa vile kipindi chote cha ujauzito,wazazi wetu walitazamana wao kwa wao kwa upendo huku wakisubiria miezi 9 iishe wapate kiumbe wao....kulikuwa NO smart phone NO flat screen...
Hebu jaribu kumuangalia huyo mjamzito pembeni yako anafanya nini kama sio kuangalia stori za akina Hamorapa tu mitandaoni alafu utegemee toto lifanane na wewe,thubutu!
Mkuu we noma aisee yaani nimejikuta nacheka eti hebu angalia huyo mjamzito pembe yako anaangalia Nini , kweli mke wangu mjamzito na ametumbulia tamthilia za kibongo za kina JB ,nna shaka ajae ka hatafanana ,JB Basi Ray Mzee wa majiiiiiii, ahaaaa haha,akizaliwa mkuu nitakutumia picha yake
 
Back
Top Bottom