Kwanini WATAWALA wetu hawataki kupima Afya zao Muhimbili?

oldisgold

Senior Member
Oct 2, 2013
198
0
Kwa nini watawala wetu hawataki kupima afya zao Muhimbili?

JK yuko USA wengine wako South Africa na India

Kama rais wa Kenya anapima na kutibiwa Kenya sisi kwa nini watawala wetu hawataki kuiwezesha Muhimbili na wakapima afya zao hapa hapa?
 
Kajunjumele BA

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
673
195
Kwa nini watawala wetu hawataki kupima afya zao Muhimbili?

JK yuko USA wengine wako South Africa na India

Kama rais wa Kenya anapima na kutibiwa Kenya sisi kwa nini watawala wetu hawataki kuiwezesha Muhimbili na wakapima afya zao hapa hapa?

oldisgold hawapendi kwenda Muhimbili siyo kwasababu hawana uzalendo no... shida nikwamba wengi wanamaradhi yanayowafanya kuogopa unyanyapaa wakipima afya na kugundulika na huto tu ugonjwa....sasa ilikuhakikisha usiri wa afya zao ndo wanakimbila Nje...Lakini kwa maoni yangu jamaa hawa ni wazalendo kwani wanonekanaonekana kwa waganga wa kienyeji hawagwayi kwenda. Wanakwenda kule kwasababu hakuna kipimo kikubwa ni Ramli basi unapata majibu yote...

Na mfano wa Pili ni pale wote walipoonekana Loliondo wakimuunga mkono mvumbuzi wadawa mzalendo Babu Mwaisapile na tiba yake ya Kikombe.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,151
2,000
nasikitika kusema kwamba SWALI LAKO HALINA MAJIBU ! Japo nampelekea Copy ya uzi huu WAZIRI WA AFYA .
 
Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,062
2,000
huu uzi watakupa majibu vijana wa lumumba hivi punde.... Ritz
 
Last edited by a moderator:

MT KILIMANJARO

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
4,217
1,225
Kwa nini watawala wetu hawataki kupima afya zao Muhimbili?

JK yuko USA wengine wako South Africa na India

Kama rais wa Kenya anapima na kutibiwa Kenya sisi kwa nini watawala wetu hawataki kuiwezesha Muhimbili na wakapima afya zao hapa hapa?

Wanawaogopa madaktari wa muhimbili kwani wamewatesa sana kwenye malipo nakuwangoa kucha na meno.
 
mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
5,107
2,000
Ni mwendelezoi
hawasomeshi watoto wao shule zetu
hawaweki pesa zao benki zetu
hawavai nguo za ndani
ila mali za hapa wanazitamani hao ni kina nani na ni wangapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom