Kwanini watawala wengi wa Kiafrika hawapendi mitandao ya Kijamii?

Watawala wanaamini wanaongoza Wapumbavu ndiyo maana wanajitahidi elimu iwe ya kipumbavu ili watawaliwa wazidi kuwa wajinga
 
Boss Mndwyika.wetu Mbona jibu ni rahisi sana. Mitandao ya Kijamii ina nguvu sana na inafika kwa msomaji haraka, Chukulia Gazeti, Gazeti mpaka walichapishe, walitume kwa Wasomaji, ni leo???!!! Pia Mitandao ya Kijamii inafichua maovu ya Watawala. Kuna Faida na Hasara za hii Mitandao ya Jamii.

Watawala wengi wa Ki Africa wanaichukia hii mitandao kwa sababu zao Binafsi na za Chama. Mimi sidhani kama Mtawala ambae yupo kwa Maslahi ya Taifa atachukia hii mitandao, ningekuwa mimi ndio Rais ingekuwa ndio Source yangu ya Haraka ya kupata habari, maana Sometimes Wasaidizi wanaweza kupotosha au kudanganya.

Pili mimi naamini Ngozi nyeusi tumelogwa aisee, Yaani utakuwa Mtu kabla hajapata Uongozi au Madaraka anakuwa mtu safi, akishapata tu, mambo yanakuwa tofauti. Ndio maana tunazidi kusua sua tu. Hatua moja mbele na hatua tatu nyuma.


The Greek word for “truth” is aletheia, which literally means to “un-hide” or “hiding nothing.” It conveys the thought that truth is always there, always open and available for all to see, with nothing being hidden or obscured. The Hebrew word for “truth” is emeth, which means “firmness,” “constancy” and “duration.” Such a definition implies an everlasting substance and something that can be relied upon.

From a philosophical perspective, there are three simple ways to define truth:

1. Truth is that which corresponds to reality.
2. Truth is that which matches its object.
3. Truth is simply telling it like it is.

First, truth corresponds to reality or “what is.” It is real. Truth is also correspondent in nature. In other words, it matches its object and is known by its referent. For example, a teacher facing a class may say, “Now the only exit to this room is on the right.” For the class that may be facing the teacher, the exit door may be on their left, but it’s absolutely true that the door, for the professor, is on the right.

WaTz tunapoambiwa tuna ugonjwa wa kuamini kila kitu kinachoandikwa mitandaoni ni “KWELI” tunaumwa kiasi cha kua ICU ya reality.
JE TUAMINI KINACHOTOKA WAPI?
Je kabla ya mitandao “UKWELI” ULIKUA UNAMILIKIWA NA NANI?

Je ukweli ni mali ya nani?

Mitandao inamilikiwa na nani?
Kuna tofauti kubwa kati ya “social media” na who owns “social media content”.

Je wanachi wakikaa kwenye vijiwe vya kahawa na kujadili mambo ya nchi yao, mfano (ziko wapi 1.5tr?) kuna tofauti gani na kuandika kwenye “mitandao”

Kwa nini watawala wengi wa kiafrika hawapendi “ MITANDAO” . Lakini wenzao wa majuu wanaitumia kwa faida sana.

Kuna tofauti gani kati ya “MTANDAO” vs “MITANDAO” Je Search engine GOOGLE ni mtandao au mitandao? Je social media ni nini? anayetakiwa kujua kilichoandikwa kwenye social media ni kweli au sio kweli ni nani?

HIVI WATANZANIA TUNAOTUMIA HIZI “social media “ tumekua WAJINGA, WAPUMBAVU KIASI HICHO CHA KUTOKUWEZA KUJUA KIPI NI PUMBA NA UPI NI MCHELE?
 
Sio waafrika peke yao hata Trump hapendi free media na freedom of speech kwa sababu wangependelea kufanya yao na yasijulikane kwa wananchi wao, so uwepo wa free media hususani social media ni mkuki moyoni!
 
Baba yako mzazi mwenyewe hapo nyumbani kwenu hapendi mitandao ya kijamii achilia mbali Viongozi wa kiafrika.
 
Viongozi wa Afrika ujiona wana akiri nyingi kuzidi watu wote wanaowaongoza Hilo ndo tatizo kubwa la Afrika
 
jiwe limetuona sisi wapumbavu sana..jiwe linataka kuturudisha miaka ya 70..jiwe linataka ku control each and every thing..watanzania wa 1970 sio hawa wa kizazi hiki cha digital..tatizo jiwe halipendi kukosolewa..baada ya kuvibana vyombo vya habari,kuzuia bunge live wa TZ wote tumehamia huku kwenye social networks ambapo tunapata taarifa..nadhani hili nalo watawala hawalitaki..ifike mahali watawala waheshimu sheria na katiba..time will tell..few days left..mark my words
 
Ukweli inauma Sana technology ipo chini wanatamanj watuue km Jamaa ila hawez nadhani bahari ya hindi ingeelea sandarusi km vlie Viboko walivyotamalaki Lake manyara mwizi +muuwaji
 
Mitandao ya kijamii,imekuwa ikiwasaidia sama wananchi kubadilishana mawazo na kuzungumzia maswala ya viongozi mbalimbali, pamoja na hayo,uzushi nao umekuwemo,kitu ambacho huonekana kama uchafuzi katika jamii
 
Back
Top Bottom