barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,322
- 29,583
Ningekua ndio wewe ningekaa kimya, nisingeuliza hili swali la kipumbavu maana hata sio la kijinga.Acha kuuliza maswali ya kitoto. Hujui Sampuli za research zinavyochuliwa?
Ningekua ndio wewe ningekaa kimya, nisingeuliza hili swali la kipumbavu maana hata sio la kijinga.Acha kuuliza maswali ya kitoto. Hujui Sampuli za research zinavyochuliwa?
Uzuri mama keshawasoma sasa hivi. Wakipiga mavuvuzela anashika hapo hapo wanyooke..Mti wenye matunda mtaani /polini ndio upigwao mawe.... na watoto wa shule.
Simpendi Sirro lakini hiyo sensa ya watanzania wengi uliifanya lini na ukaifanyia wapi ukajua wengi hawampendi?
Mitaani
mitaa ipi? overage na methodolgy uliotumia ni ipi?
nataka kujua uliyotumia wewe na area sampleAcha kuuliza maswali ya kitoto. Hujui Sampuli za research zinavyochuliwa?
ili ku confirm madai yako ya " wananchi wengi" unawadai wwIli iweje.
True nature yake Katu hawezi kwenda na ccm atawaonea huruma wapinzani.Wote wanaompigia debe Kaganda ni wapumbavu.
Kusema watanzania wengi siyo kweli sema wanachadema wengi walio mitandaoni wengi wanapinga Kila kitu kinachofanywa na serikali ndo wanapinga uwepo wa police ambao wanawaita policcm.
Wanasahau IGP siyo cheo Cha kisiasa ambacho hata lissu angeweza kugombe
Questionnaire? seriously?Questionnaire
Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki.
Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro.
Je, ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki?
Huyu mama Suzan Kaganda ndio atatenda haki?
Malalamiko kwa Sirro ni mengi juu ya kutetea uovu wa askari. Wanasiasa, wakulima na hata wananachi wa kawaida wanalalamika mitaani. Je, ni kweli hafai?
Rudi darasani upya. umeshafeli. even in digital way bado sana. even serikali haitumii njia hiyo kupata actual number ya ishu za kijamii.Questionnaire dunia ya leo inafanyika kidigital siku hizi. Acha kukariri. Nchi nzima inafikiwa na dodoso kwa dk mbili tu.
Amehamisha Jeshi la Polisi lote kushughulikia siasa kuwakandamiza CHADEMA kwa kuwabambikizia kesi na kuwatupa mahabusu bila kosa lolote akiacha uhalifu ukiongezeka kwa kasi ya ajabu ikiwa ni pamoja na mauaji ya kutisha. Intelligentsia ya Polisi aliyokuwa anajigamba kuwa na uwezo wa kuwabaini Wapinzani waliokuwa wanafikiria kuandamana ilikuwa wapi "Gaidi" akafanikiwa kuuwa Polisi 4 na wengine kujeruhiwa Mita chache tu toka Kituo cha Polisi mchana kweupe? Polisi wenyewe wamekiri mauaji yameongezeka sana Awamu hii wakisingizia Ushirikina. Jeshi chini ya uongozi wake limepoteza kabisa Imani ya wananchi linatakiwa kufumuliwa kabisa kulipa nguvu na imani mpya.Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki.
Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro.
Je, ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki?
Huyu mama Suzan Kaganda ndio atatenda haki?
Malalamiko kwa Sirro ni mengi juu ya kutetea uovu wa askari. Wanasiasa, wakulima na hata wananachi wa kawaida wanalalamika mitaani. Je, ni kweli hafai?
hilo suala lilishawahi kuongelewa enzi za jpm. kuwa police tz inatakiwa ibadilike kutoka police force to police service. lakin sababu ya siasa muhusika akaonekana ni adui.Mimi kwa mawazo yangu nashauri Mfumo mzima wa Jeshi la Polisi ufumuliwe na kuundwa upya.
Kutaka Siro aondoke wakati mfumo wa Polisi ni ule ule naona haiwezi kusaidia hata aje IGP yupi!
lakini zaidi ya yote ni mpaka tutakapopata Katiba Mpya.
Jeshi letu la Polisi linafanyakazi vizuri isipokuwa linatumika zaidi kwa maslahi ya Chama tawala badala ya Maslahi ya wananchi hapo ndipo linapoonekana halina weledi katika kufanyakazi zake.