Kikarara78
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,495
- 901
Kwanza soma nilichoandika. Pili, kazi yako na familia yako itaboresha elimu kwa wote? Au itajenga barabara zitakazopunguza foleni na kurahisisha usafirishaji wa bidhaa kwa mfanyabiashara? Kujidanganya ni kufikiri umeyapatia maisha wakati ukigundulika una kansa kesho kila ulichofanyia kazi kinapukutika na wanao unawaachia umasikini ambao hata wazazi wako hawakukuachia.
Boss Hey Maendeleo huletwa na Mtu au Watu, Maendeleo hayaletwi na Serikali, acheni kujidanganya. Yawe Maendeleo ya Elimu, Maendeleo ya Afya ya Jamii, Maendeleo yoyote yale. Mimi na Wewe ndio tutakayoleta. Mimi siongelei nje ya hapo.
Simple, kwanini Serikali zote Tanzania na Dunia, zinawahimiza Raia wake, kufanya kazi??? !!! Kama hayo Maendeleo yanaletwa na Serikali, Si wangekaa kimya ??? !!!
Watu wengi wana mind set mbaya, wasema na kufikiri Serikali ndio inayoleta Maendeleo, Dat wrong, Maendeleo huletwa na Watu .