Kwanini Watanzania wengi wanapenda kufanya kazi idara ya Usalama wa Taifa(TISS)? Je, ni hulka ya mtu mweusi kupenda sifa?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Nianze kwa kuwatakia usiku mwema kwa wote wanaoisoma hii mada usiku huu.

Nimeona watanzania wengi wanatamani sana kufanya kazi ndani ya idara hii ya usalama wa nchi(taifa). Ukiwahoji kwa undani utagundua kuwa si maslahi ndiyo wanayoifuata maana idara nyingi tu zina maslahi nzuri kama au zaidi ya maslahi wanayoipata wana idara hii.

Nini hasa watu hukifuata?

Wengine wamefikia hatua mpaka kuwadanganya vijana wadogo kuwa ni watumishi wa idara hii.
Na kama kuna sifa/ kaheshima wanakipata wanapodanganya kuwa ni watumishi wa idara hii,

Je, ni heshima ya namna gani na inawasaidia nini?
 
Nianze kwa kuwatakia usiku mwema kwa wote wanaoisoma hii mada usiku huu.
Nimeona watanzania wengi wanatamani sana kufanya kazi ndani ya idara hii ya usalama wa nchi(taifa). Ukiwahoji kwa undani utagundua kuwa si maslahi ndiyo wanayoifuata maana idara nyingi tu zina maslahi nzuri kama au zaidi ya maslahi wanayoipata wana idara hii.
Nini hasa watu hukifuata?
Wengine wamefikia hatua mpaka kuwadanganya vijana wadogo kuwa ni watumishi wa idara hii.
Na kama kuna sifa/ kaheshima wanakipata wanapodanganya kuwa ni watumishi wa idara hii, je, ni heshima ya namna gani na inawasaidia nini?
u brothermen ni deal....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom