Saccos imeshakufa sasa unataka wakapige nini tena? CCM inatosha.Hata 2020 hali itakuwa ni hii hii na huenda ikawa mbaya zaidi.
Saccos imeshakufa sasa unataka wakapige nini tena? CCM inatosha.Hata 2020 hali itakuwa ni hii hii na huenda ikawa mbaya zaidi.
Hata 2020 hali itakuwa ni hii hii na huenda ikawa mbaya zaidi.
Saccos imeshakufa sasa unataka wakapige nini tena? CCM inatosha.
Siyo kweli, labda hali itakuwa mbaya zaidi kwa Wachaga kwa kushindwa vibaya zaidi kwa Mbowe na chadema!
Kura gani? Hivi sasa kuna mchakato wa kuandikisha wale vijana ambao wamefikia umri wa kupiga kura. Suala la kuwa watu hawana mpango wa kupiga kura, ngoja wakati wa uchaguzi ndipo uweze kuongelea hilo.Najua wengi watanipinga ila ukweli ni kwamba watu wengi wanaonekana hawana mudi wala mpango wa kupiga kura wala kushiriki uchaguzi mdogo huu wa serikali jambo hili nimelishuhudia
Safari hii kuna gali linapita mtaani kwangu likihamasishe watu wakajisajili majina yao ili waweze kushiriki uchaguzi huu wa serikali mtaa kitu nilichoshangaa watu wengi wako bize na shughuli zao hata hawamsikilizi mtoa matangazo, wengi yaani tofauti na zamani nilikuwa na hamsha hamsha ya uchaguzi ila safari hiii sijui ni mini tatizo.
Jana Mkurugenzi wa Manispaa kwenye mkutano na wafanyabiashara anawataka wamchague mgombea wa CCM!Najua wengi watanipinga ila ukweli ni kwamba watu wengi wanaonekana hawana mudi wala mpango wa kupiga kura wala kushiriki uchaguzi mdogo huu wa serikali jambo hili nimelishuhudia
Safari hii kuna gali linapita mtaani kwangu likihamasishe watu wakajisajili majina yao ili waweze kushiriki uchaguzi huu wa serikali mtaa kitu nilichoshangaa watu wengi wako bize na shughuli zao hata hawamsikilizi mtoa matangazo, wengi yaani tofauti na zamani nilikuwa na hamsha hamsha ya uchaguzi ila safari hiii sijui ni mini tatizo.
Nilipokurudisha nyumbani jana usiku mama yako alikugombeza? Cheni niliyokuahidi nitakununulia.Wameshajua hakuna upinzani tena Saccos tayari imeshakufa kifo cha mende! Mbendembende!
Hao wachagga unaowaongelea wao ni level nyingine kabisa...................... wakati ninyi mkijikushanya Waganga wa kiengyeji Gambosh... wao wanazindua ATM ya maziwa uko hapo? wao wako mbele kabisa kimaendeleo na hata kiali wewe kaa hapo ukisifia visivyo na maana kabisa.
Sababu matokeo ya uchaguzi yanajulikana. Same kama kwenye by elections zilizopita. Iwe isiwe, lazima mgombea wa chama atangazwe mshindi. Common sense....!!!Ungesema Chadema ndio wamekata tamaa ingependeza zaidi.Arusha na Moshi nimepita kule chadema wengi wameapa hawaji piga kura milele.Sijajua sababu Ni Nini.
Hahaha naunga mkono hoja, wepi hao wana atm maziwa? Uru, Rombo, Marangu au wa Kibosho?
Liko pale Moshi mjini wa Rombo, Uru, Marangu wote waje kujifunza pale ndio zisambazwe huko Tarekea na kwingineko
Najua wengi watanipinga ila ukweli ni kwamba watu wengi wanaonekana hawana mudi wala mpango wa kupiga kura wala kushiriki uchaguzi mdogo huu wa serikali jambo hili nimelishuhudia