Jumax
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 117
- 229
Habari za leo wanajamii natumai nyote mu wazima wa afya na mna endelea vizur na shughuli za ujenzi wa taifa letu pendwa.
Binafsi nimekuwa nina hoja inayogonga sana kuta za ubongo wangu kila uchwao na hivyo ninaomba mawazo yenu wakuu.
Hivi ni kwanini watanzania waliowengi wanatabia moja mbaya sana yenye kuidhalilisha na kuaibisha jamii yetu kwa ujumla, tabia ya KUWANYENYEKEA na KUWAHUSUDU watu wenye pesa na madaraka hapa nchini ambapo hupelekea hata kuwatetea na kuwakingia vifua watu hao wanapofanya madudu hata kama ukweli utakuwa upo wazi na wanafahamu kama yafanywayo ni makosa kisheria.
Mfano hai.
Ni huyu mtu anaeitwa 'lemutuz'. Kwa muonekano ni mtu mzima lakini nahisi kichwani mwake kutakuwa na walakini maana haiwezekani jamii yote ya watanzania inaufahamu ukweli dhidi ya maovu yanayofanywa na Mkuu wa mkoa wa dsm na kupinga maovu hayo maana ni kinyume na matakwa ya sheria za nchi yetu lakini lemutuz na watu wa aina yake wanatetea masuala haya tena wanadiriki kabisa hata kutumia NGUVU na MUDA wao wote kuhakikisha watz tunaamini yafanywayo si kweli.