Kwanini watanzania wengi hawakai karibu na mito?

RICHEST

Member
Jun 23, 2011
25
16
Maji tunaambiwa ni uhai. Ukikaa mbali nayo hutaki uhai.

Nimetembea sehemu nyingi Tanzania unakuta mito inatiririka maporini ikiwa yatima bila watu karibu wakiwa wanakaa mbali na mito wengine kilomita hata 10 au zaidi toka mto ulipo.

Halafu kitu cha ajabu unakuta wanatuma wabunge wakaombe serikali iwapelekee maji kwani wanachota umbali mrefu kiasi cha kushindwa kufanya shughuli zingine za maendeleo. Hivi kwa nini wasihamie karibu na hiyo mito au serikali badala ya kugharimia miondo mbino ya maji iwahamishie huko kisha iachane nao waendelee chota Ili wasiendelee sumbua bunge na sirikali?

India kuishi karibu na mto ni bahati sana tena watu hufurahi mito yote imefurika wakazi pembezoni.Hivi watanzania wengi vijijini mbona wanakaa mbali na mito kwa nini? pita njia zote za barabara kuu na ndogo hali ni hiyo.
 
Niliwahi kumuuliza mtaalamu mmoja,akasema tz wanazuiya kujenga vijiji
karibu na mito kwa kuzuiya uharibifu wa maji(mito)
 
Maji tunaambiwa ni uhai.Ukikaa mbali nayo hutaki uhai.
Nimetembea sehemu nyingi Tanzania unakuta mito inatiririka maporini ikiwa yatima bila watu karibu wakiwa wanakaa mbali na mito wengine kilomita hata 10 au zaidi toka mto ulipo.

Halafu kitu cha ajabu unakuta wanatuma wabunge wakaombe serikali iwapelekee maji kwani wanachota umbali mrefu kiasi cha kushindwa kufanya shughuli zingine za maendeleo.Hivi kwa nini wasihamie karibu na hiyo mito au serikali badala ya kugharimia miondo mbino ya maji iwahamishie huko kisha iachane nao waendelee chota Ili wasiendelee sumbua bunge na sirikali?

India kuishi karibu na mto ni bahati sana tena watu hufurahi mito yote imefurika wakazi pembezoni.Hivi watanzania wengi vijijini mbona wanakaa mbali na mito kwa nini? pita njia zote za barabara kuu na ndogo hali ni hiyo.

Usafi wa mito ya Bongo na ya India ukoje!??
 
Kwa viwango vya usafi vya India na wahindi ni misafi ila kwa viwango vya usafi vya Tanzania Na dunia sijui.Kwani Tanzania ni ya ngapi kwa usafi duniani? Kwa viwango vya dunia?
 
Mnakumbuka vijiji vya ujamaa? Relocation iliyofanyika wakati wa Nyerere! hiyo nayo yaweza kuwa Source mojawapo
 
maji tunaambiwa ni uhai.ukikaa mbali nayo hutaki uhai.
Nimetembea sehemu nyingi tanzania unakuta mito inatiririka maporini ikiwa yatima bila watu karibu wakiwa wanakaa mbali na mito wengine kilomita hata 10 au zaidi toka mto ulipo.

Halafu kitu cha ajabu unakuta wanatuma wabunge wakaombe serikali iwapelekee maji kwani wanachota umbali mrefu kiasi cha kushindwa kufanya shughuli zingine za maendeleo.hivi kwa nini wasihamie karibu na hiyo mito au serikali badala ya kugharimia miondo mbino ya maji iwahamishie huko kisha iachane nao waendelee chota ili wasiendelee sumbua bunge na sirikali?

India kuishi karibu na mto ni bahati sana tena watu hufurahi mito yote imefurika wakazi pembezoni.hivi watanzania wengi vijijini mbona wanakaa mbali na mito kwa nini? Pita njia zote za barabara kuu na ndogo hali ni hiyo.
mimi nakubaliana na wewe mkuu hivi wewe ndio yule ulikuwa mnazi mkubwa wa JK eeeh!
Si umeona kimeo chako kinavyotusumbua!
 
Hapa nadhani kunahitaji kupitia kwa umakini vinadharia vya uanzishaji wa makazi ili tuone nini kilitokea.
Tunaweza kuanzia na kuchunguza ukuaji mdogo wa Ruvu darajani ukilinganisha na Mlandizi au Chalinze.
 
India kuishi karibu na mto ni bahati sana tena watu hufurahi mito yote imefurika wakazi pembezoni.Hivi watanzania wengi vijijini mbona wanakaa mbali na mito kwa nini? pita njia zote za barabara kuu na ndogo hali ni hiyo.

Ee bwana naona wewe umekaa sana India hadi kusahau kuwa mafuriko ya bongo ni balaa.
Inabidi ulale kimachale na uwe na boti yko nje.
Ukisikia mvua tu nzito inakuja we unasepa kwenye boti.
Ishi karibu na Rufiji,RuvuPangani at your own risk.
 
Maji tunaambiwa ni uhai.Ukikaa mbali nayo hutaki uhai.
Nimetembea sehemu nyingi Tanzania unakuta mito inatiririka maporini ikiwa yatima bila watu karibu wakiwa wanakaa mbali na mito wengine kilomita hata 10 au zaidi toka mto ulipo.

Halafu kitu cha ajabu unakuta wanatuma wabunge wakaombe serikali iwapelekee maji kwani wanachota umbali mrefu kiasi cha kushindwa kufanya shughuli zingine za maendeleo.Hivi kwa nini wasihamie karibu na hiyo mito au serikali badala ya kugharimia miondo mbino ya maji iwahamishie huko kisha iachane nao waendelee chota Ili wasiendelee sumbua bunge na sirikali?

India kuishi karibu na mto ni bahati sana tena watu hufurahi mito yote imefurika wakazi pembezoni.Hivi watanzania wengi vijijini mbona wanakaa mbali na mito kwa nini? pita njia zote za barabara kuu na ndogo hali ni hiyo.

Mkuu nenda ukajenge nyumba yako pale Ndundu daraja la Mkapa kama hatuja sikia umesombwa na maji wakati wa masika hadi Zanzibar!!!
 
ume nikumbusha njia ya kwetu daah nimepamiss home,nikikumbuka samaki wa nangurukuru pale teh teh teh mtwara kuchele jamani!
 
halafu siku hizi wame acha kutucheka tunapanda ma yutong ya kufa mtu na ma higher ya maana tu masaa 6 tu uko mtwara tofauti na huko kwao unasafiri masaa 12 kama una enda amerika bwana kwi kwi kwi kumbe ni tanzania teh teh teh.....Mtwara kuchele jamani.
 
Back
Top Bottom