Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hebu kumbuka bana utupe hapa. unasahau mabo ya msingi unakumbuka nini? lete jina hapa
Qm interested yapo mazao mengi na sehrm nyingi tunaweza kuangalia namna ys kufanyaHallo i am a kenyan based in the European union, nitajitahidi kuandika na swahili ila munajua sisi wakenya swahili yetu ni ya kuomba maji na pia nafahamu nikiandika na english wemgi hapa hawataelewa, na sisemi hivyo kwa ubaya dada na kaka zangu wabongo na pia masemeji wangu maana nafikiri nitaoa huko kwenu, sasa tuingia kwa hii jambo la export, kweli vile huyu kaka amesema kuexport to european union kuna masariti magumu sana hata kenya iko muda walifunguwa kuexport hapa EU sababu ya kitu tunaita MLI, yaani ni chemicals ngapi ziko kwa hio tunda au mboga, na pia unahitaji hii kitu inaitwa GAP yaani hio inaoyesa vile mazao huaza toka mbegu mpaka inafika kuexport, kazi hio, kenya iko na ardhi dogo sana lakini inatengeneza billions of shillings kila mwaka na export of fresh produce, ila tz mko na ardhi tele rotuba nzuri lakini munatengeneza hela chache sana kutoka export of farm produce, WHY, kwanini, moja elimu ni changamoto huko bongo, 2 hamna viongozi ambao wanajali taifa lenu, 3 wakulima hawana hela na maarifa ya kisasa, kaa irragation, greenhouses , cold stroge facilities, sababu ni nyingi.tz ni taifa mungu aliibariki kabisa, lakini elimu na uongozi ndio changamoto. hebu fikiria tz ndio wenye mifugo mingi nambari 2 africa, lakini munaangiza nyama toka nje ya nchi, mko na over 2,000 coastline, mko na 3,000 rufiji delata acres amazo munaweza kuuza kufunga na kuuza schrimps and crabs, good mashamba ambapo munaweza kuza avocados and hortculture na mutengeneza billions every year, lakini hamna hilo.tz needs a seriuos investor in agriculture ambae atafundisha watu jinsi ya kufanya hii export of produce from tz. mwaka huu naja hapo tz na nitasirikiana na TAHA, and pia sugcot kuona ni vipi, kwahivyo jambo ninalosema kila muda ni kuwa ukasagundua tatizo, iliobaki ni kutafuta suluhiso,so kaa kuna yeyote ambae angehitaji either maarifa zaidi maana niko tayari na connection hapa EU na sio eu to hata asia and australia anaweza wasiliana nami toungee zaidi nikifika tuone vile tunaweza saidiana, mimi naamini kuwa mungu alituweka katika hii dunia tusaidiane, asanteni sana, sijui swahili yangu vipi, ukiwa intrested na hii bussiness get in touch pls, thank you
Hapo ni fitna tu hamna jipya sijui nani katurogabinafsi mie nilitafuta soko lakuexport strawberries botswana !dili zuri ..lakin nilinyoosha mikomo mm !kama ulivyosema Lasway.Jr kueport dry foods hapo sawa !mie walisema had wapime water contents ya matunda,plus udongo pia !mambo kibao !
Get intouch with me pls, be blessed, yes in tz you have very very large tracks of fertile land sirQm interested yapo mazao mengi na sehrm nyingi tunaweza kuangalia namna ys kufanya
binafsi mie nilitafuta soko lakuexport strawberries botswana !dili zuri ..lakin nilinyoosha mikomo mm !kama ulivyosema Lasway.Jr kueport dry foods hapo sawa !mie walisema had wapime water contents ya matunda,plus udongo pia !mambo kibao !
Well said Sir! Mchawi wetu ni akili zetu wenye. The way we don't allow our mind to look in big picture and this start from our Tz leaders (government) to citizen. So far am interested with it sir, nahis naweza jifunza kituHallo i am a kenyan based in the European union, nitajitahidi kuandika na swahili ila munajua sisi wakenya swahili yetu ni ya kuomba maji na pia nafahamu nikiandika na english wemgi hapa hawataelewa, na sisemi hivyo kwa ubaya dada na kaka zangu wabongo na pia masemeji wangu maana nafikiri nitaoa huko kwenu, sasa tuingia kwa hii jambo la export, kweli vile huyu kaka amesema kuexport to european union kuna masariti magumu sana hata kenya iko muda walifunguwa kuexport hapa EU sababu ya kitu tunaita MLI, yaani ni chemicals ngapi ziko kwa hio tunda au mboga, na pia unahitaji hii kitu inaitwa GAP yaani hio inaoyesa vile mazao huaza toka mbegu mpaka inafika kuexport, kazi hio, kenya iko na ardhi dogo sana lakini inatengeneza billions of shillings kila mwaka na export of fresh produce, ila tz mko na ardhi tele rotuba nzuri lakini munatengeneza hela chache sana kutoka export of farm produce, WHY, kwanini, moja elimu ni changamoto huko bongo, 2 hamna viongozi ambao wanajali taifa lenu, 3 wakulima hawana hela na maarifa ya kisasa, kaa irragation, greenhouses , cold stroge facilities, sababu ni nyingi.tz ni taifa mungu aliibariki kabisa, lakini elimu na uongozi ndio changamoto. hebu fikiria tz ndio wenye mifugo mingi nambari 2 africa, lakini munaangiza nyama toka nje ya nchi, mko na over 2,000 coastline, mko na 3,000 rufiji delata acres amazo munaweza kuuza kufunga na kuuza schrimps and crabs, good mashamba ambapo munaweza kuza avocados and hortculture na mutengeneza billions every year, lakini hamna hilo.tz needs a seriuos investor in agriculture ambae atafundisha watu jinsi ya kufanya hii export of produce from tz. mwaka huu naja hapo tz na nitasirikiana na TAHA, and pia sugcot kuona ni vipi, kwahivyo jambo ninalosema kila muda ni kuwa ukasagundua tatizo, iliobaki ni kutafuta suluhiso,so kaa kuna yeyote ambae angehitaji either maarifa zaidi maana niko tayari na connection hapa EU na sio eu to hata asia and australia anaweza wasiliana nami toungee zaidi nikifika tuone vile tunaweza saidiana, mimi naamini kuwa mungu alituweka katika hii dunia tusaidiane, asanteni sana, sijui swahili yangu vipi, ukiwa intrested na hii bussiness get in touch pls, thank you