BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,144
Hakuna tija.
Kwanza ni maudhi tu mara nyingi kufanya hivyo. Balozi hizi mara nyingi wana 'attitude' ya kana kwamba unawapelekea mzigo kwa aina fulani - uanapofika pale 'atmosphere' iliyopo ianakwambia tu kwamba hukaribishwi!
Balozi zetu nadhani wanafikara za kwamba kila mTanzania aliyeko maeneo yao atawapelekea matatizo yake binafsi ambayo hawawezi au hawataki kujihusisha nayo.
Mi nadhani tatizo kubwa lilipo hapa ni kwamba watanzania (wengi wao)walio nje ya nchi wameshapata exposure tofauti na majority hapa nyumbani. Balozi zetu almost zote ziko too political na wala haziko Professional. Ukichukulia mfano wa UK, baada ya kuhimiza watu waungane waangalie namna ya kukomboana kiuchumi mkuu is busy officiating matawi ya CCM and yet wengi wanajua kabisa majority wanaojifanya wana-CCM huko ughaibuni ni opportunits tuu..wanaotaka wapewe vifavour...sasa kuna waliokwisha vuka hizo level za kutegemea favour..wanajua kabisa maisha ni kupambana kivyako....., Mabalozi wengi hawaelewi kwamba kuna wengi ambao sio waumini wa vyama bali wao ni watanzania na utanzania tuu. Ukweli ni kwamba akitokea balozi ambaye yupo professional na anajua anachokifanya watanzania watakuwa karibu. Ila kwa sasa naamini kabisa wengi hawapendi kujiingiza kwenye ukaribu na ubalozi maana hizi BALOZI HAVE NOTHING TO OFFER..Zaidi ya kuwaridhisha watawala nyumbani hata kama wanajua wanayoyafanya si sahihi....
Uhakika ni kwamba ECONOMIC DIPLOMACY KWA MABALOZI WENGI BADO NI NDOTO. Kuna watanzania wangependa kujihusisha na mambo ya nyumbani lakini kwa sababu ya exposure na kuona dunia za wenzetu zilivyo, they arent ready to waste their time na officials ambao wamejaa ukiritimba. They arent ready to sing zidumu fikra za mwenyekiti... the fikra must be analysed, challenged and ofcourse discarded if no longer viable!
1. Watanzania wengi hawana imani na serikali na organs zake.
2.Watu wako busy kuanzia kubeba box mpaka kufundisha vyuo vikuu.
3.Ubalozi hauna mpango mzuri wa kujisajili online, kama upo hautangazwi.Pia hamna consulates za kutosha, kujisajili kwa wengi inabidi ufunge safari ndefu au kutuma vitu kwa snail mail.
4.Watu wengine hawako nchi za watu kihalali na wanahofia balozi zetu, badala ya kututetea kama ilivyo kawaida zitaweza hata kutuchongea.
5.Ujisajili ili iweje? Waliojisajili hawapati taarifa wala huduma yoyote.
6.Privacy concerns among some civil libertarians.Mfano UK wanamuogopa Mama Maajar ataanzisha dossier la Watanzania wote wa CUF walioko huko.
7.Wengine hawataki uwezekano wa usumbufu (michango, kukutana na rais na washashi wengine wa kiserikali etc).
8.Protest against the Kikwete/CCM administration.
9.Serikali haiwezi kuwajali Watanzania walioko nje mpaka iwajali walio nyumbani.
10.Kujisajili ubalozini? Watu washatupa passport katika choo cha ndege wakirudishwa kutoka shamba kubwa kuwa deported "back home" to Jamaica, only to flip some moves out of JFK.Halafu unataka wajisajili ubalozini, unacheza!