Kwanini watanzania wanamlaumu mwalimu Nyerere kwa kukosa elimu?

Nyerere on Education: A Commentary By Jenerali Ulimwengu

1. Introduction
Nyerere on Education is essentially an effort to present, in one mid-size document, Mwalimu Julius Nyerere's thoughts on education. With selected speeches and writings, it traces Nyerere's basic educational philosophy, from the young anti-colonial campaigner leading Tanganyika's independence movement in the 1950s, through his years in power, to his time in retirement.

Throughout this long period, in which he played varied roles, we are afforded a glimpse of his unwavering conviction about the crucial importance of education in national development and the need to make the content of the education offered to young men and women relevant to the needs of their society.

Recognising education as a potent tool of human emancipation, he posits the need to do away with colonial education, which was tailored to service the colonial machine by producing colonial props, and which was imbued with fragments of the master's values system, and to erect, in its place, a cultural edifice more in tune with the needs and aspirations of a young nation in a hurry to eradicate poverty, disease and hunger.

2. Educational Inequalities and Inequities
Very early in his political career he saw the inequity inherent in the racially differentiated
education, in which race and colour determined the type of school Tanganyika's children
attended, with its destructive potential for the creation of a racially polarised nation.
In a statement made in 1956, he brought up the issue of the glaring inequality in the amount of resources allocated for the education of the different racial groups. All the three major racial groups – Europeans, Asians and Africans – were allocated the same amount of money from the colonial Treasury -- Pounds 800,000 each, regardless of the fact that there were only 25,000 Europeans and 70,000 Asians, compared to 8 million Africans. To quote Nyerere, whose bitter irony cannot be missed:

"All European children and Asian children receive primary education…Only
40% of the African children go to school. We are told that this is because there is
not enough money in the country to give education to every child; and that
unless Europeans can be sure that their children will receive education they will
not come to Tanganyika, and the African will suffer. So, this apparent injustice to
the African, like so many others, is done for the good of the African."

...

Throughout the book, we encounter a statesman grappling with the urgent issues of
development and aware of the crucial importance of the kind of education that is relevant to a young, backward nation eager to shake off the multi-facetted yoke of underdevelopment.

Mwalimu teaches us that education is not about good, imposing buildings and other physical structures but, rather, the imparting of knowledge and the inculcation of those values and attributes that make members of the society useful to themselves and their fellows. Education must be so designed that it frees the mind of the recipient, making him capable of questioning phenomena surrounding him, with a view to influencing them and using them for the betterment of his lot and that of the society....

[Continue reading at http://www.hakielimu.org/hakielimu/documents/document50nyerere_edu_commentary_en.pdf]
 
Nyerere alifanya juhudi kubwa kutupandisha mpka karibu robo ya kileleni Kilimanjaro, lakini hakujenga mkakati wa kueleweka wa namna ya kusonga mbele na kuendelea kujizatiti tusije rudi nyuma.
Tuyaonayo sasa ni matokeo ya Siasa ile ilokosa dira ya kueleweka.

Wapi, miaka yote hiyo tangu ang'atuke tusiweze hata kufanya kitu cha maana hata kama alikosea! Mbona kuna nchi zimepitia kwenye matatizo makubwa hadi miaka ya 1990 na sasa tunasikia zimepiga hatua kutuzidi sisi?

Tatizo kubwa kwetu hapa ni kwamba viongozi wetu si wazalendo; ni walaji.
 
- Mwalimu alaumiwe kwa mengine lakini sio ya elimu, Tanzania ilikuwa namba moja katika Africa, on literacy under Mwalimu, mimi nimesoma na Watindiga kutoka Singida ambao Mwalimu alikuwa akiwalazimisha kwa nguvu kuja shule na hata kuwalipa pesa za posho wakae shuleni,

- Tumepewa kila kitu bure na Mwalimu ili kusoma shule, sasa Mwalimu aliharibu vipi elimu ya taifa ambayo yeye akiwa rais ilikuwa juu Africa nzima na sasa ni kama haipo kabisa?

- I mean mnyonge mnyongeni lakini haki apewe, kuna ya kumlaumu Mwalimu, lakini elimu sio kabisaa. Mwalimu anastahili pongezi kubwa kwa kusimamia elimu ya taifa letu kisawasawa.

FMES

Hapo ndipo alipochemsha. Tutajie mtindiga aliyeweza kubadilisha mazingira yake kwa kutumia elimu ya Nyerere.

Mpaka sasa hakuna correlation yoyote inayoonyesha kuwa maisha ya watanzania yamebadilika baada ya kupata elimu.
 
Nyerere on Education: A Commentary By Jenerali Ulimwengu

1. Introduction
Nyerere on Education is essentially an effort to present, in one mid-size document, Mwalimu Julius Nyerere’s thoughts on education. With selected speeches and writings, it traces Nyerere’s basic educational philosophy, from the young anti-colonial campaigner leading Tanganyika’s independence movement in the 1950s, through his years in power, to his time in retirement.

Throughout this long period, in which he played varied roles, we are afforded a glimpse of his unwavering conviction about the crucial importance of education in national development and the need to make the content of the education offered to young men and women relevant to the needs of their society.

Recognising education as a potent tool of human emancipation, he posits the need to do away with colonial education, which was tailored to service the colonial machine by producing colonial props, and which was imbued with fragments of the master’s values system, and to erect, in its place, a cultural edifice more in tune with the needs and aspirations of a young nation in a hurry to eradicate poverty, disease and hunger.

2. Educational Inequalities and Inequities
Very early in his political career he saw the inequity inherent in the racially differentiated
education, in which race and colour determined the type of school Tanganyika’s children
attended, with its destructive potential for the creation of a racially polarised nation.
In a statement made in 1956, he brought up the issue of the glaring inequality in the amount of resources allocated for the education of the different racial groups. All the three major racial groups – Europeans, Asians and Africans – were allocated the same amount of money from the colonial Treasury -- Pounds 800,000 each, regardless of the fact that there were only 25,000 Europeans and 70,000 Asians, compared to 8 million Africans. To quote Nyerere, whose bitter irony cannot be missed:

“All European children and Asian children receive primary education…Only
40% of the African children go to school. We are told that this is because there is
not enough money in the country to give education to every child; and that
unless Europeans can be sure that their children will receive education they will
not come to Tanganyika, and the African will suffer. So, this apparent injustice to
the African, like so many others, is done for the good of the African.”

...

Throughout the book, we encounter a statesman grappling with the urgent issues of
development and aware of the crucial importance of the kind of education that is relevant to a young, backward nation eager to shake off the multi-facetted yoke of underdevelopment.

Mwalimu teaches us that education is not about good, imposing buildings and other physical structures but, rather, the imparting of knowledge and the inculcation of those values and attributes that make members of the society useful to themselves and their fellows. Education must be so designed that it frees the mind of the recipient, making him capable of questioning phenomena surrounding him, with a view to influencing them and using them for the betterment of his lot and that of the society....

[Continue reading at http://www.hakielimu.org/hakielimu/documents/document50nyerere_edu_commentary_en.pdf]

Companero:

My old nemesis, kwanini uchoki ku-copy and ku-paste. Elimu sio important variable ya ecomic growth au quality of life improvement.

Mpaka sasa elimu nzuri bado inatolewa katika majengo mazuri. Hivyo Mwalimu aliboronga tu kufikiri kuwa kutoa elimu chini ya miti itasaidia.
 
Hapo ndipo alipochemsha. Tutajie mtindiga aliyeweza kubadilisha mazingira yake kwa kutumia elimu ya Nyerere.

Mpaka sasa hakuna correlation yoyote inayoonyesha kuwa maisha ya watanzania yamebadilika baada ya kupata elimu.

Huwezi kuona correlation sasa hivi maana mliharibu baada ya 1985...positive correlation zilikuwepo RDA...JKT...N.K...

Kama sio juhudi zake Nyerere, Zakumi angekuwa wapi...Madilu angekuwa wapi...Mkulu angekuwa wapi...
 
Companero:My old nemesis, kwanini uchoki ku-copy and ku-paste. Elimu sio important variable ya ecomic growth au quality of life improvement.

Sijui unatumia tafsiri gani ya neno Elimu. Kama unatumia hii Elimu = Maarifa + Ujuzi + Ufahamu basi hakuna hata nchi moja iliyopata maendeleo bila hivi vitu hata kama ni kwa kuviazima. Ila kama unatumia Elimu = Kiingereza hewala Zateni!
 
Hapo ndipo alipochemsha. Tutajie mtindiga aliyeweza kubadilisha mazingira yake kwa kutumia elimu ya Nyerere.

Mpaka sasa hakuna correlation yoyote inayoonyesha kuwa maisha ya watanzania yamebadilika baada ya kupata elimu.

- Mwalimu aliwafundisha watindiga kuvua samaki, thanks God kwamba hakuwapa samaki na kuwatelekeza, sasa kama hawawezi kuvua samaki linakuwaje tatizo la Mwalimu,

- Mimi Mwalimu alinipa elimu bure, since then ninaondoka tu na sijawahi kuangalia nyuma, nimejitafutia maendeleo na sasa niko njiani kuhamishia kwa watoto wangu,

Mwalimu alaumiwe kwa mengine lakini sio la elimu, wabongo tunajulikana dunia nzima kwa vichwa safi, nenda UN ukaulize majina kama Mama Migiro, Tibaijuka, Salim, na Mahiga, hawa walisoma under system ya nani sio Mwalimu?

FMES!
 
Bila kukisahau kichwa hichi kilichovumbua mambo enzi za Awamu ya Elimu ya Mwalimu:

"This was a discovery by a Tanzanian student at the former Mkwawa High
School (now MUCE), the results of which were published in Phys. Educ.
1969, 4, pp. 172-5. This work is cited by many researchers. For more
information visit at [ame=http://en.wikipedia.org/wiki/Mpemba_effect]Mpemba effect - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]. Below
is a short description of the discovery."

------------

The Mpemba effect is the observation that, in certain specific
circumstances, warmer water freezes faster than colder water. New
Scientist recommends starting the experiment with containers at 35 °C (95
°F) and 5 °C (41 °F) to maximize the effect.[1]

The effect is named for the Tanzanian high-school student Erasto B.
Mpemba. Mpemba first encountered the phenomenon in 1963 in Form 3 of
Magamba Secondary School, Tanzania when freezing hot ice cream mix in
cookery classes and noticing that they froze before cold mixes. After
passing his O-level examinations, he became a student at Mkwawa Secondary
(formerly High) School, Iringa, Tanzania. The headmaster invited Dr. Denis
G. Osborne from the University College in Dar Es Salaam to give a lecture
on physics. After the lecture, Erasto Mpemba asked him the question "If
you take two similar containers with equal volumes of water, one at 35 °C
(95 °F) and the other at 100 °C (212 °F), and put them into a freezer, the
one that started at 100 °C (212 °F) freezes first. Why?" only to be
ridiculed by his classmates and teacher. After initial consternation, Dr.
Osborne confirmed Erasto's finding and they published the results together
in 1969.[2][3] Erasto Mpemba currently works for the African Forestry and
Wildlife Commission.[4]

Osborne observed that the top is warmer than the bottom in a beaker of
water being cooled, the difference being sustained by convection. Blocking
heat transfer from the top with a film of oil drastically slowed cooling.
Also, the effect of dissolved air was accounted for by using boiled water.
The beakers were also insulated from the bottom.
 
- Mwalimu aliwafundisha watindiga kuvua samaki, thanks God kwamba hakuwapa samaki na kuwatelekeza, sasa kama hawawezi kuvua samaki linakuwaje tatizo la Mwalimu,

- Mimi Mwalimu alinipa elimu bure, since then ninaondoka tu na sijawahi kuangalia nyuma, nimejitafutia maendeleo na sasa niko njiani kuhamishia kwa watoto wangu,

Mwalimu alaumiwe kwa mengine lakini sio la elimu, wabongo tunajulikana dunia nzima kwa vichwa safi, nenda UN ukaulize majina kama Mama Migiro, Tibaijuka, Salim, na Mahiga, hawa walisoma under system ya nani sio Mwalimu?

FMES!

Kuvua samaki ndio tatizo kubwa. Nimeuliza swali mara nyingi hapa, ni nani aliye-finance sera za elimu? Hakuna anayetoa jibu.

Huwezi kusomesha watu bila kuwa na resources. Wahisani wali-pump money Tanzania hili baadaye tuweze kujitegemea wenyewe kiuchumi (KUVUA SAMAKI).

KUVUA SAMAKI hakukutokea. Na wahisani wakiacha kutoa misaada, wengi watarudi katika maisha ya Ujima.
 
Bila kukisahau kichwa hichi kilichovumbua mambo enzi za Awamu ya Elimu ya Mwalimu:

"This was a discovery by a Tanzanian student at the former Mkwawa High
School (now MUCE), the results of which were published in Phys. Educ.
1969, 4, pp. 172-5. This work is cited by many researchers. For more
information visit at Mpemba effect - Wikipedia, the free encyclopedia. Below
is a short description of the discovery."

------------

The Mpemba effect is the observation that, in certain specific
circumstances, warmer water freezes faster than colder water. New
Scientist recommends starting the experiment with containers at 35 °C (95
°F) and 5 °C (41 °F) to maximize the effect.[1]

The effect is named for the Tanzanian high-school student Erasto B.
Mpemba. Mpemba first encountered the phenomenon in 1963 in Form 3 of
Magamba Secondary School, Tanzania when freezing hot ice cream mix in
cookery classes and noticing that they froze before cold mixes. After
passing his O-level examinations, he became a student at Mkwawa Secondary
(formerly High) School, Iringa, Tanzania. The headmaster invited Dr. Denis
G. Osborne from the University College in Dar Es Salaam to give a lecture
on physics. After the lecture, Erasto Mpemba asked him the question "If
you take two similar containers with equal volumes of water, one at 35 °C
(95 °F) and the other at 100 °C (212 °F), and put them into a freezer, the
one that started at 100 °C (212 °F) freezes first. Why?" only to be
ridiculed by his classmates and teacher. After initial consternation, Dr.
Osborne confirmed Erasto's finding and they published the results together
in 1969.[2][3] Erasto Mpemba currently works for the African Forestry and
Wildlife Commission.[4]

Osborne observed that the top is warmer than the bottom in a beaker of
water being cooled, the difference being sustained by convection. Blocking
heat transfer from the top with a film of oil drastically slowed cooling.
Also, the effect of dissolved air was accounted for by using boiled water.
The beakers were also insulated from the bottom.

Mpaka 1968 Mfumo wa elimu ulikuwa bado wa mkoloni. Usimpe sifa hapo Mchonga.
 
Kuvua samaki ndio tatizo kubwa. Nimeuliza swali mara nyingi hapa, ni nani aliye-finance sera za elimu? Hakuna anayetoa jibu.

Huwezi kusomesha watu bila kuwa na resources. Wahisani wali-pump money Tanzania hili baadaye tuweze kujitegemea wenyewe kiuchumi (KUVUA SAMAKI).

KUVUA SAMAKI hakukutokea. Na wahisani wakiacha kutoa misaada, wengi watarudi katika maisha ya Ujima.

Tangu lini sera ikafadhiliwa? UPE ulifadhiliwa? Au unaongelea VOLK?

Somo la Sayansi Kimu (Sayansi ya Kujikimu) lilihitaji ufadhili? La Kilimo je? Na la Sanaa? Hayo ndio masomo yaliyotufunda kuvua samaki kabla hamjaanza kutuletea mashuleni vile vikopo vya 'sardines' kutoka ughaibuni vikatulemeza tusubiri kuvuliwa na kusindikiwa samaki!
 
Huwezi kuona correlation sasa hivi maana mliharibu baada ya 1985...positive correlation zilikuwepo RDA...JKT...N.K...

Kama sio juhudi zake Nyerere, Zakumi angekuwa wapi...Madilu angekuwa wapi...Mkulu angekuwa wapi...

Hapo ni sawa na kusema kuwa bila kuja wakoloni, Nyerere angekuwa wapi
 
Sijui unatumia tafsiri gani ya neno Elimu. Kama unatumia hii Elimu = Maarifa + Ujuzi + Ufahamu basi hakuna hata nchi moja iliyopata maendeleo bila hivi vitu hata kama ni kwa kuviazima. Ila kama unatumia Elimu = Kiingereza hewala Zateni!

Waingereza ndio waliokupa elimu sasa wewe unataka tafsiri gani. Don't re-invent the wheel.

Wahaya kabla ya elimu ya darasani tayari walikuwa wanaweza kufua chuma bora kuliko cha UFI. Hivyo tayari elimu walikuwa nayo.

Elimu ya madarasani inaboresha HR. Lakini hili HR hii iwe na manufaa ni lazima kuwe na economic needs. Hivyo basi economic growth ni lazima i-preceed elimu.

Chukua mfano wa wachagga, wahaya na wanyakyusa. Maendeleo yao hayakutokana na wao kuanza kusoma na baadaye kulima kahawa. Walianza kulima kahawa na baadaye kusoma.

Na kwa mtaji huu. Kulikuwa hakuna sababu yoyote kumpeleka mzaramo kwenye vijiji vya Ujamaa na kuacha korosho zake zikitekea maporini. Alitakiwa atumie utajiri unaotokana na korosho zake kusomesha.
 
Tangu lini sera ikafadhiliwa? UPE ulifadhiliwa? Au unaongelea VOLK?

Somo la Sayansi Kimu (Sayansi ya Kujikimu) lilihitaji ufadhili? La Kilimo je? Na la Sanaa? Hayo ndio masomo yaliyotufunda kuvua samaki kabla hamjaanza kutuletea mashuleni vile vikopo vya 'sardines' kutoka ughaibuni vikatulemeza tusubiri kuvuliwa na kusindikiwa samaki!

Sasa walimu walilipwa mishahara kutoka wapi?
 
In most regions of the country, villagers and townspeople built UPE primary schools
with their bare hands, providing land, raw materials and labour.
The government’s
contribution remained the provision of a tin roof, if at all, and providing teachers who
benefited from only a few weeks of training. Innovative forms of long distance teacher
education were adopted to train teachers while they were on the job in the schools.

Comparative evaluation studies in the early 1980s found that ‘UPE’ teachers performed
as well if not better than those trained in normal residential training colleges.

Schooling was not completely ‘free’, not then, not ever. Not only did parents and
other members of the community build their schools; they paid taxes, bought
uniforms, notebooks, textbooks and other school supplies. In addition, a contribution
of twenty shillings was made for each child every year
.

..yale madai kwamba "tulisoma bure" yanapingwa na ushuhuda wa ripoti ya wataalam.

..zoezi la UPE halina tofauti na zoezi la hivi karibuni la kujenga shule za sekondari za kata.

..tunaweza kufurahia enrollment kubwa ya sasa hivi, lakini viwango vya taaluma bado viko chini sana.

..ripoti inazungumzia over 90% ya watoto kuandikishwa shule ya msingi nchi nzima. hawaelezi asilimia ngapi wanakwenda sekondari, asilimia ngapi wanafika chuo kikuu, au wanapata elimu ya juu.

..naomba kuuliza kama kuna wakati wowote ule ktk historia yetu tulikuwa na wanafunzi wengi ktk elimu ya juu kuliko watani wetu Kenya.

NB:

..miaka ya Mwalimu ilikuwa hata kama umefaulu vizuri, lakini ukaanguka kwenye combination uliyochagua, basi ulikuwa huna msaada wa serikali.
 
Tusingeweza kuwafikia Kenya kwa kuwa baada ya Mwalimu kuondoka mambo yalikwenda kinyumenyume. Kasi ya upanuzi wa Vyuo ilikwenda taratibu mno. Angalia Jedwari hapo chini angalia Idadi ya wanafunzu waliojiunga Chuo kikuu wakati Mwalimu anaondoka na na wakati Mwinyi anaondoka madarakani iliongezeka kiasi gani

[FONT=arial, helvetica, times]University undergraduate enrollment in Tanzania, 1985-2000[/FONT]

1985/86 1995/96 96/97 97/98 98/99 99/200

University of Dar es Salaam 2,987 3,544 3,770 4,131 4,172 4,816

Muhimbili University College of Health Sciences --- 357 379 443 548 626
[FONT=arial, helvetica, times]

[FONT=arial, helvetica, times]UCLAS -- -- 91 [FONT=arial, helvetica, times]463 501 728 [/FONT][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]Sokoine University of Agriculture [FONT=arial, helvetica, times]480 1,100 1,040 1,253 1,300 [FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times]1,425[/FONT][/FONT][/FONT][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times][/FONT][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times]Others -- ---- ---- ------ -------- 1,459[/FONT][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times][/FONT][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times]Total 3,467 5,001 5,280 6,290 6,521 [FONT=arial, helvetica, times]9,054[/FONT]

[/FONT]
[/FONT][/FONT][FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times][/FONT]
[/FONT]​
[/FONT]​
[FONT=arial, helvetica, times]Source: MSTHE, Some Basic Statistics. [/FONT]
 
Last edited:
..yale madai kwamba "tulisoma bure" yanapingwa na ushuhuda wa ripoti ya wataalam.

..zoezi la UPE halina tofauti na zoezi la hivi karibuni la kujenga shule za sekondari za kata.

..tunaweza kufurahia enrollment kubwa ya sasa hivi, lakini viwango vya taaluma bado viko chini sana.

Kuna tofauti kati ya 'free acccess to education' na 'free education'. Hatusemi elimu ilikuwa bure wakati wa Mwalimu. Tunasema kulikuwa na fursa ya wazi kwa wote. Siku hizi hata mzazi wako alipe kodi kubwa kiasi gani bado unaweza usipate fursa ya kupata elimu. Tunataka kuwa na fursa sawa kwa wote.
 
Waingereza ndio waliokupa elimu sasa wewe unataka tafsiri gani. Don't re-invent the wheel.

Wahaya kabla ya elimu ya darasani tayari walikuwa wanaweza kufua chuma bora kuliko cha UFI. Hivyo tayari elimu walikuwa nayo.

Elimu ya madarasani inaboresha HR. Lakini hili HR hii iwe na manufaa ni lazima kuwe na economic needs. Hivyo basi economic growth ni lazima i-preceed elimu.

Chukua mfano wa wachagga, wahaya na wanyakyusa. Maendeleo yao hayakutokana na wao kuanza kusoma na baadaye kulima kahawa. Walianza kulima kahawa na baadaye kusoma.

Na kwa mtaji huu. Kulikuwa hakuna sababu yoyote kumpeleka mzaramo kwenye vijiji vya Ujamaa na kuacha korosho zake zikitekea maporini. Alitakiwa atumie utajiri unaotokana na korosho zake kusomesha.

Ndio maana Mwalimu alitoa elimu ya mashambani. Aligundua hilo unalosema kuhusu elimu ya madarasani. Sera ya Elimu ya Kujitegemea inasema madarasa = mashamba. Tungeitekeleza sasa hivi tusingekuwa na njaa. Na tungeshiba tungepata muda kuvumbua. Na tungepata muda kuvumbua tusingekuwa na giza la Tanesko. Na tusingekuwa na giza la Tanesko tungekuwa tumeendelea.
 
Back
Top Bottom