Kwanini watanzania wana matusi sana?

Sidhani kama tuna matusi as such, lakini tunaongea mambo yasiyo na msingi kabisa. Yaani tunapenda kuongea mambo yasiyo na tija kwetu na kwa jamii.
 
Kuna mahusiano ya tabia kama izi na Umaskini....Maskin ni watu flan sio Emotional..muda mwingi wana Hasira,Chuki..kulaumu wengine & hapendi kusaudia bali kukomoa ..nimejaribu kuchnguza hii tabia ya Kutukana ..kwenye page Za Facebook za Redio DW,BBC,VOA.comments za wabongo nyingi ni matusi ukifananisha na Wakenya & UgandaS ..kifup sio Tabia nzuri
 
Matusi ndiyo yaliyowaleta duniani.... acha watukane mwaya siku iingie!
 
Hiyo ni dalili ya watu wengi kuwa na stress za magonjwa yasiyotibika, kipato duni, ungaunga mwana, roho mbaya, uchawi na dhambi nyinginezo.
 
Wengine wanafanya hapa JF kama ndio sehemu yao ya kumalizia stress zao za maisha kwa kutukana wenzao! Nadhani ni stress za maisha tu pamoja na malezi mabaya toka utotoni! Hapa nimewaongelea wale watukanaji sugu wa jf.
Jf naona hakuna matusi sana bhanaa wee! Insta sijui ni matusi ya taifa gani ni mapya matupu hasa wanaume
 
uongo mtupu... kuna watukanaji kuzidi mizungu ya huko ulaya? kila kitu utasikia tu fak fak fak
 
Back
Top Bottom