manock
Member
- Nov 7, 2016
- 97
- 37
Kwanini sisi Watanzania tunasoma ili tuajiriwe? Nimejiuliza tufanyeje kutatua tatizo hili maana tukiambiwa tujiajiri tunaanza kulalamika kwa sababu tumekariri ukisoma lazma uajiriwe.
Mimi nashauri tuache mfumo huu wa kutegemea kuajiriwa. Ukisomea sekta yoyote uwe unaweza kujiendeleza mwenyewe bila kumtegemea mtu na tuache kusoma kwa kukariri kuanzia primary hadi university.