Kwanini watanzania tunapenda habari mbaya na za chonganishi?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,182
11,199
Jaman hivi mmeshafanya analysis ya kila jambo lina ukakasi ndio linapendwa kusikilizwa na kuangaliwa?

Yani ukitoa taarifa mbaya ndio watu wanajaa kama wote mfano andika msiba au mambo ya ugonjwa au mtu kupata matatizo basi panajaa kama mtu kama wote.

Mimi nadhani kuna shida embu tujiulize na tujirekebishe tuwe na Tanzania mpya.
 
Jaman hivi mmesha fanya analysis ya kila jambo lina ukakasi ndio linapendwa kusikiliswa na kuangaliwa?
Yani ukitoa taarifa mbaya ndio watu wana jaa kama wote mfano ana andika msiba au mambo ya ugonjwa au mtu kupata matatizo basi pana jaa kama mtu kama wote.

Mimi nadhani kuna shida embu tujiulize na tujirekebishe tuwe na Tz mpya
Kwani CCM wanasemaje?
 
Kwa sababu hayo Ndio mambo yanayogusa mioyo ya watu, au ulitaka mada za harusi, sherehe za kuzingua misitu ya miti Ndio zipewe kipaumbele? Hatuwezi kuwa hivyo Kama taifa
 
Jaman hivi mmesha fanya analysis ya kila jambo lina ukakasi ndio linapendwa kusikiliswa na kuangaliwa?
Yani ukitoa taarifa mbaya ndio watu wana jaa kama wote mfano ana andika msiba au mambo ya ugonjwa au mtu kupata matatizo basi pana jaa kama mtu kama wote.

Mimi nadhani kuna shida embu tujiulize na tujirekebishe tuwe na Tz mpya
Watanzania wote hawaipendi hii serikali, wanachuki nayo iliyokithiri.
Hivyo Jambo lolote likisemwa lililobaya watu hupenda na kushangilia.
Wanapenda kuona serikali inafail katika Mambo yote.

Wanaccm ndiyo hasa, wanapenda kuona chama kikimfia jiwe mikononi mwake.
Mliobaki mkitetea utawala huu ni ninyi wa mitandaoni kwa sababu ya maslahi yetu, huku mkijua ukweli ni upi.
 
Hebu acha mashairi

Corona ipo au haipo??
 
Jaman hivi mmesha fanya analysis ya kila jambo lina ukakasi ndio linapendwa kusikiliswa na kuangaliwa?
Yani ukitoa taarifa mbaya ndio watu wana jaa kama wote mfano ana andika msiba au mambo ya ugonjwa au mtu kupata matatizo basi pana jaa kama mtu kama wote.

Mimi nadhani kuna shida embu tujiulize na tujirekebishe tuwe na Tz mpya
Nadhani katika hili la Uchonganishi na Habari mbaya kama pangetafutwa Rais wake na apewe Tuzo Mtangazaji Maulid Kitenge angeibuka Kinara.
 
Yaani ndio tumezoeshwa hivyo hasa awamu hii, tunapenda kusikia habari mbaya hatuzipati tunasikia mapambio tu ya kumsifia Rais
 
Jaman hivi mmesha fanya analysis ya kila jambo lina ukakasi ndio linapendwa kusikiliswa na kuangaliwa?
Yani ukitoa taarifa mbaya ndio watu wana jaa kama wote mfano ana andika msiba au mambo ya ugonjwa au mtu kupata matatizo basi pana jaa kama mtu kama wote.

Mimi nadhani kuna shida embu tujiulize na tujirekebishe tuwe na Tz mpya
Huu ni utamaduni wa kifo, tuupinge.
 
Kila jambo lina sababu za muda mrefu na mfupi ie katiba, chaguzi, kiburi watawala, madhila Ben saa8 na wengine...
Hulka za binadamu pia rejea hata katika mambo ya burudani Simba na Yanga.
Hata maandiko matakatifu Yesu mwana wa Mungu alijaribiwa na hata kusulubiwa.
Hata North Korea ipo siku watasherehekea uhuru wao kwa sasa unafiki makofi na tabasamu bandia.
 
Jaman hivi mmesha fanya analysis ya kila jambo lina ukakasi ndio linapendwa kusikiliswa na kuangaliwa?

Yani ukitoa taarifa mbaya ndio watu wanajaa kama wote mfano andika msiba au mambo ya ugonjwa au mtu kupata matatizo basi panajaa kama mtu kama wote.

Mimi nadhani kuna shida embu tujiulize na tujirekebishe tuwe na Tz mpya
Umasikini ndio chanzo, umasikini huleta roho mbaya chuki, uchawi, visasi.
 
Back
Top Bottom