Kwanini Watanzania tuna WIVU na CHUKI na MAFANIKIO ya watu wengine?

Airmanula

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
3,748
5,237
Wakulungwa naombeni majibu, labda mimi ndio sielewi, hivi kwanini watanzania tunakua na chuki na mtu mwenye mafanikio?

Hata tunabaniana opportunity za kutoka kimaisha, ni kwanini? Yani mtu yuko radhi akupe kreti la bia lakini sio connection ya kupata pesa..mtu hayuko radhi aone mwingine anapata connection ya pesa au biashara, anaumia, anaona utafaidika sana au utakua tajiri..
 
Dhulma!!
 
Mkuu, mtu huyo siyo wewe kweli mweny chuki kwa mafanikio ya wengine?

Maana kuna 'filosofia' za vijiweni zinasema: ...'ukiona mtu anamponda demu, ama kitu fulani, kabla ya kumuunga mkono maneno yake, mwangalie kwanza usoni kama anamaanisha'...' wengi huvisema kwa kebehi vitu wanavyovipenda ama kuvifanya ili kuhadaa watu'...
 
Mkuu unge edit uwe unajitolea mfano hai kabisa wewe kwa upande wako unabyochukia mafanikio ya wenzako,
 
Wakulungwa naombeni majibu, labda mimi ndio sielewi, hivi kwanini watanzania tunakua na chuki na mtu mwenye mafanikio?

Hata tunabaniana opportunity za kutoka kimaisha, ni kwanini? Yani mtu yuko radhi akupe kreti la bia lakini sio connection ya kupata pesa..mtu hayuko radhi aone mwingine anapata connection ya pesa au biashara, anaumia, anaona utafaidika sana au utakua tajiri..
Humu ndo tupo sasa...raha tupu
 
Billions inaonekana watu wanabania connections maana wabongo hatufai kwa roho ya unafki na roho mbaya ya wivu ! Wengine hata wakiona umecomment roho zinajaa upepo ..!shida ni UMASKINI uliotuzidi ...
 
Mamito nimeleta dili la mkulima mwenye kuweza kusafirisha tani kuanzia moja za bidhaa za vyakula nje ya nchi, uzi umeondolewa, lakini huu hapa haujaondolewa sababu ni wa malalamiko, hivyo watanzania tunapenda kufurahi na kusoma matatizo tu masaa 24
Heee .na mods umewauliza wakasemaje? Inashangaza ..khaa
 
Back
Top Bottom