UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,586
- 1,883
Hello salamu waungwana,
Kuna jambo flani limekua likintatiza sana nimekua nikijiuliza nini chanzo cha waTz wengi kuikana nchi yetu na kupiga teke utaifa hasa linapokuja swala la kuonesha wazi mapenzi na nchi yetu.
Unakuta si viongozi katika act zao za kutetea maslahi ya nchi tuu, Huu ni ugonjwa mpaka kwa vijana katika michezo hawajui wanawakilisha kitu gani as in identity ya kutambulisha origin ya muhusika.
Nimewahi kutembelea mataifa flani miaka ya nyuma nimeona jinsi watu wanavyoheshimu tamaduni za nchi nyingine na kutukuza utaifa wao kuanzia mavazi, vyakula mpaka imani zao.
Imefika mbali mpaka unakuta katika mitandao vijana wanaona ni vyema kusema wanaishi ughaibuni kuliko kusema wao ni wazawa wa chato au kolomije ni kwanini?
Kwanini uzalendo haupo, kwanini imekua ngumu kuweka utaifa kwanza kwanini imekua ngumu kujiuliza nitaifanyia nini Tanzania.?
Nitoe tu angalizo kuwe na somo la uzalendo katika mitahala yetu. Maana kunawakati lazima iwepo namna ya kuweka tofauti na selfishness zetu pembenu na uzalendo uchukue nafasi yake ili taifa letu lifaidike .
Nitaenda nchi zote duniani but I'm proud to be Tanzanian sababu its where I will rise my blood as Tanzanian sio mlomwizi,
Ukiangalia EPL kama wewe ni mpenzi wa premier league utaelewa kuwa wenzentu wanathamini sana utaifa wao first priority kwao ni Taifa analotoka sio hapo tu ukienda kwenye sector ya utarii wageni wanao kuja kilicho kikuu kwao ni Taifa lao watokalo lakini kwanini sisi ni tofauti!?
Utakuta viongozi wanaongea mambo ambayo unajiuliza hawa ni waTz kweli hawa wanafanya mambo ambayo unafika wakati unasema baada ya miaka kazaa watoto wetu watajivunia lipi!?
Guys tuwe na uzalendo ndani ya mioyo yetu. Hui kitu inaanzia ndani ya family zetu watoto wakiona unahubiri mapenzi juu ya Taifa letu wataiga uzalendo huo tu.
Gentleman