GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
- Wanakubalika mno hadi na Mheshimiwa Rais wetu wa JMT.
- Wanakula sana bata ( wanastarehe ) kuliko wenzao.
- Wanapata umaarufu kila kukicha kuliko wenzao.
- Wana influence kubwa kwa Mabosi zao hapo na kwa Watazamaji wengi.
- Wana Confidence kubwa kuliko Wafanyakazi wenzao.
- Wanaonekana kuwa na afya nzuri na bora kuliko wenzao wote pale CMG.
- Wana maisha mazuri hasa Kipesa kuliko wenzo wote hapo CMG.