Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,299
- 13,331
Sir, the issue is very very simple.Mimi nashabika Simba...pia nasikiliza sana vipindi vya michezo it's like nipo addicted yani...kila muda wa michezo na earphones zangu...
Lakini nilichogundua ni kwamba tatizo si kwa wachambuzi...ila sisi wasikilizaji tunapenda kusikia tunavyotaka kusikia...wachambuzi wanajitahidi kuwa neutral lakini sisi Mashabiki hatutaki timu zetu zisemwe ikisemwa Yanga basi wale Simba ikisemwa Simba vivyo hivyo.
Kifupi tumewachoka mashabiki maandazi...if u ain't no football you better find some other things to do....wachambuzi hawana shida kabisa tatizo mashabiki maandazi hampendi ukweli.
Simba kwa sasa ndio team yenye brand kubwa zaidi na kupendwa pia kufatiliwa kuliko club yoyote.
Ina followers wengi kuliko club yoyote kwenye platforms zote, inashiriki mashindano makubwa, ina wachezaji wa daraja la juu kwa ligi yetu kuliko club yoyote, ina fedha, ni bingwa mtetezi, ina Arena yake ya kisasa kabisa n.k
Hivyo vyote vinafanya Simba kuwa mtaji kwa wachambuzi ambao wanatengeneza pesa via social media accounts zao, if he/she talks anything nasty about Simba lazima iende viral kwa sababu Simba fans tuko active mbayaaaa aongelee kuhusu Yanga apate nini wakati wamelala?
Mtizame Mange, Soudy Brown na wenzie wanatumiaje mambo ya Mond kutengeneza mawe hata wakimzungumzia Kiba au Harmonize ni kwa mlengo uleule wa eidha kijembe kwa Mond n.k
So usiumizwe kichwa na vitu zinazoingizia watu pesa. So have fun life is too short buda.