Kwanini waswahili tuko hivi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,834
155,782
Waswahili huwa tunatema mate kwenye mabasi,
tunapenga na kukojoa hovyo barabarani,
tukiwa tunahama tunang'oa hadi silingi bodi licha ya kuwa tumelikuta, na pia huwa tunaharibu vitasa vya milango,
tukienda kwenye pati tunaiba misossi na kuondoka na chupa,
jamani hivi kwa nini tuna tabia za ajabu?
Tabia zetu mbaya ni nyingi mno kiasi kwamba nikiandika zote hapa wino utaisha kwenye monitor yangu,
lakini kikubwa cha kujiuliza, kwa nini leo tusiachane na tabia hizo?
 
Kwani juzi hujaona kwenye uwanja wa taifa walivyong'oa viti na kuharibu kwa makusudi?
Ustaarabu zero...labda ndo maana ya kuwa blacks!:(
 
Kwani juzi hujaona kwenye uwanja wa taifa walivyong'oa viti na kuharibu kwa makusudi?
Ustaarabu zero...labda ndo maana ya kuwa blacks!:(

waliponiacha hoi ni pale walipokojoa kwenye masinki ya kunawia mikono,
 
mh hili nalo tatizo..hivi kwa nini?? (heee nimeuliza tena) inaniudhi sana hii.
 
Wakiingia vyooni wanaondoka na toilet paper. Wengine wanasimama kwenye vyoo wakati wa kujisaidia.
 
hapo umesema kweli..na mswahili akienda huwa anakunya na ndio maana wazungu huwa wanaogelea mbali na waswahili
 
eti mtu anatupa taka barabarani kwa madai kuwa asipotupa yule mfagiaji atapata wapi kazi/hela??? nonesense!!!
 
Waswahili huwa tunatema mate kwenye mabasi,
tunapenga na kukojoa hovyo barabarani,
tukiwa tunahama tunang'oa hadi silingi bodi licha ya kuwa tumelikuta, na pia huwa tunaharibu vitasa vya milango,
tukienda kwenye pati tunaiba misossi na kuondoka na chupa,
jamani hivi kwa nini tuna tabia za ajabu?
Tabia zetu mbaya ni nyingi mno kiasi kwamba nikiandika zote hapa wino utaisha kwenye monitor yangu,
lakini kikubwa cha kujiuliza, kwa nini leo tusiachane na tabia hizo?

Mkuu hii inasababishwa na malezi mabaya.
 
hatuna uzalendo wala ustaarabu na ndo maana hatuendelei!!! hatuna utamaduni wa kutunza kitu hasa unapojua hiki ni cha umma basi 'its non of my concern'. sas sijui huo umma unatu-exclude???
 
Kama tumelogwaeeeHHH, yani kimsingi haiingii akilini kabisa!!! why should you take three samosas in a workshop afternoon tea, wrap it in the tissue and put it in the handbag!! how disgusting??!!! kwani huwezi kununua samusa ukawapelekea wanao au whomever unyempelekea????!!!
 
GROUP G!!!! umenifukuza kabisa humu lol!!! naskia maumivu ya mbavu kwa kucheka duh!!! u have made my evening and i wish u a gud one!!!!!!!!!!!

umeisema kwa hasira sana hii ya sambusa duh!!! ukienda kwenye w/shop hizo mbona sana tu yaani mtu hata hukumtarajia kufanya hivo!!!!
 
Forum hii itakomesha vitabia hivi ingawa haviwezi kwisha lakini mtu akitaka kufanya atafikiria mara mia. Hivi umewahi kuwaona watu wanavyochanganyikiwa kwenye w/shop kwenye chakula lakini msosi kibao.
 
tabia za kijinga jinga tu!!! mpaka umri ulionao vingapi ushakula afu bado unashobokea vijimambo tu!!!

eee bwana ustaarabu muhimu sana tena kwenye public duh!!!
 
Tukisema waswahili ndo tulivyo sina uhakika, mfano ni wakazi wa moshi mjini, wale usafi ndo msingi na wamejiwekea taratibu zao na ndo zinawaongoza hadi leo kushika namba moja kwa usafi tanzania. Mi nafikiri malezi na mfumo wa maisha ya eneo husika vinachangia.
 
True. Miaka fulani niliwahi kukaa mtaa fulani maeneo ya Migomigo nikawa najitahidi sana kukemea watu waliokuwa na kawaida ya kutupa takataka ovyo mtaani. Niliishia kuambiwa najifanya mzungu kama nataka usafi niende kuishi Osterbay! Yaani usafi ni kujifanya Mzungu!!
 
Naamini baada ya activities za shule za kata zitakapo fika vyuo vikuu ustaarabu utakuwa umeongezeka. Najilazimisha kuamini kwamba pengine na elimu ambayo jamii yetu inayo na mila tulizokuwa nazo ni sehemu ya tatizo. Ikumbukwe kwa mazingira tuliyokuwa nayo baadhi ya sehemu mtu akitaka kwenda kujisaidia haja kubwa anatoka na jembe! Hivyo hapa tulipofika si haba tuendelee kununua madawati yote yanawezekana.
 
Wacheni ya uwanja wa taifa pale ppf tower nimekuwa kwenye ofisini fulani hivi kwa miaka minne lkn waswahili hawajui kabisa matumizi ya vyoo ikifika saa nne watu washapiga breakfast duh toilet ni mitondoo tu ingawa maji yapo lkn mtu akishakata gogo tu anakimbia gogo lake ah na saa saba lunch ikifika tisa soo tupu waswahili tujifunze usafi
 
Hivi mswahili ni nani, wale waliosemwa wenye vitabia hivyo, au sisi sote humu jamvini? maana kabla hujawa mkali na kumwonyesha mwenzako kidole kimoja, hebu jiulize vidole vingine vinamtazama nani?

Jambo la msingi ni kuwa kila mtu atizime wajibu wake. Na hapo ndipo tutapata waswahili, lakini walio na stahiki na ustaarabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom