Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Naomba majibu hapa kutoka kwa waalimu.
je! Nikwanini kila nikisikia taarifa za taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru imeokoa fedha za mstaafu ukifuatilia atakuwa ni mwalimu?
kwani wastaafu wote wanaopigwa kwenye mikopo umiza ni waalimu tu?
Ni nini kinasababisha watapeliwa wengi kuwa ni waalimu badala ya wakulima?